Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,655
- 16,023
Me naenda kupikia chai🤭Poa kaeni na miutelezi yenu.. siitaki wala nini .. 😐😐😐😐
Me naenda kupikia chai🤭Poa kaeni na miutelezi yenu.. siitaki wala nini .. 😐😐😐😐
Mm ndyo kabisa atakwama mapema sana
Shogaaa nmebakiza kipande kidogo sana cha hisia nmemtunzia futureMuelewe shogare [emoji12]
Unakaza sana.. utelezi sio wa kunitumia mie
Me naenda kupikia chai🤭
Poa tu, telezi zenyewe hazina mpyaa.. acha nipambane na warembo wa kitaaa.. hawana mbwembweee nyingiiiMuelewe shogare [emoji12]
Huyo mmama usimtaje bana!!!😑Akuche Kwa jina la Samia, haiwezekani naumia hivi moyoni 😐😐😐
Shogaaa nmebakiza kipande kidogo sana cha hisia nmemtunzia future
Kaeni navyoo.. kama vitawapa utajiri 😅😅😅Wala sikazi ndio hivyo bro kitu kimeziba kabisaa!! Sina hisia
Poa kaeni na miutelezi yenu.. siitaki wala nini .. [emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
Mie nateseka moyo tuuu 😭😭😭😭😭😭Huyo mmama usimtaje bana!!!😑
🤣🤣🤣
Ngoja nimchokoze chokoze tuone!
Khakhakhaaaa!! Sijui kwanini nimecheka lol!!Hamna wengine bas tyu piem anakua na uhuru wa kijinga, wengine watu wazima kabisaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema tuache tyu nitunze privacy za watu
Hakuna shidaa.. 😎😎😎Yaani mecheka khaaaa!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe baki na mkia wako bro shida iko wapi?!!
Shogaaa nmebakiza kipande kidogo sana cha hisia nmemtunzia future
Nitapaka usoni niglowwwwwKaeni navyoo.. kama vitawapa utajiri 😅😅😅
Watu wanao funga PM wanaonaga wameyapatia maishaaa ya JF... Kumbe 🥴🥴🥴🥴🥴Khakhakhaaaa!! Sijui kwanini nimecheka lol!!
Pole dear kweli wastiri ya pm yaishie pm!!
Kaeni navyoo.. kama vitawapa utajiri [emoji28][emoji28][emoji28]
Mmh kivuli changu eeeh 😎😎😎 hakikwepeki ni kama maji tuAnkoo wanguuu Penseli 4 nimeona kivuli chakoo ankoooo karibu tena na tena selfika ankoooo!!!
Nimefurahijeeee kukuonaaa tenaa sema nasinzia hapaaaa💤💤💤💤💤💤😴😴😴💤!!!
Nitapaka usoni niglowwwww
Nyíe vitoto buanaaa 😐😐😐😐Mimi nimemtunzia Yesu peke yake
Hovyoooo 😏😏😏😏😏[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vitatupa amani ya moyo na afya njema, yutiai itatukalia mbali
Khakhakhaaaa!! Sijui kwanini nimecheka lol!!
Pole dear kweli wastiri ya pm yaishie pm!!