Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Mara hii???Wanajf kazi kwetu kuandaa suti kuja kucheza kwaito 😄
Tukiachana wiki ijayo je??😲
Mara hii???Wanajf kazi kwetu kuandaa suti kuja kucheza kwaito 😄
Duh,unawapanga ki SIRINilitaka waje kutoa ushahidi!!🤓
Nakuchukua we wa siri...alafu natafuta na mwingine wa siri zaidi!!!😁
☺️☺️☺️ Walaji hawasemi.. alie shiba ulishawahi ona wapi ana fujoo.. Ila mwenye njaaaa sasaaa kila saaa manenoWalaji wanasemaga???🙄
Hapo inabidi niridhie Mwamba nae atafute bi mdogo na hiyo haikubaliki!!!🤨🤨😅😅😅 Tuwe wawili tu, mie mme mdogo...
Yeye Hana huo mpango..Hapo inabidi niridhie Mwamba nae atafute bi mdogo na hiyo haikubaliki!!!🤨🤨
Bado sijashawishika!!! National Anthem atanisibiria nibwagwe na Mwamba!😁Duh,unawapanga ki SIRI
Muhimu twende sawa ili nisiachwe solemba!!!🥺🥺Yeye Hana huo mpango..
Usimlishe maneno..
Niokoe mie tu 😅😅😅
Mme mdogo wa sirini
😐😐😐 Hapana sina uvumilivu huo wa kusubiri.. weyeee niweke tu .. kama backup generatorBado sijashawishika!!! National Anthem atanisibiria nibwagwe na Mwamba!😁
HahahahahaBado sijashawishika!!! National Anthem atanisibiria nibwagwe na Mwamba!😁
Hakuna kuachwaa hapo.. 😅😅Muhimu twende sawa ili nisiachwe solemba!!!🥺🥺
Sindo nakuweka store huko, nafunga mlango na funguo nampa Mwamba anitunzie. 😁😁😐😐😐 Hapana sina uvumilivu huo wa kusubiri.. weyeee niweke tu .. kama backup generator
Hahahaha,acheze kwa step sioMuhimu twende sawa ili nisiachwe solemba!!!🥺🥺
USINIDANGANYE!!!😒Hakuna kuachwaa hapo.. 😅😅
Hata hiyo sio mbayaaa.. chakula store inakuwa wanileteaa mwenyewe 😊😊😊Sindo nakuweka store huko, nafunga mlango na funguo nampa Mwamba anitunzie. 😁😁
Asicheze kabisa!!!!!Hahahaha,acheze kwa step sio
Sikudanganyi nyonga mkalia ini 😁😁USINIDANGANYE!!!😒
Si umemwambia muende sawa,mwamba asishtuke?Asicheze kabisa!!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣Hata hiyo sio mbayaaa.. chakula store inakuwa wanileteaa mwenyewe 😊😊😊
Mwamba wa neniii..usimtaje basi ☺️☺️☺️🤣🤣🤣🤣🤣
Atakuletea mwamba!