Nex time unaegemea seat kiupande, unafanya km unauegemea mlango. Ila hakiki km mlango upo locked.
Bado rafikiMuda bado??
Next week nakuja ArushaDogo simama hapo hapo usitoke
😆😆Nex time unaegemea seat kiupande, unafanya km unauegemea mlango. Ila hakiki km mlango upo locked.
Kisha unamwekea tumiguu paleeee
Af snap shwaaaaaaa
Hahahaha
National Anthem sasa ndio nini kunifichua hivyo???😳😳Mbona kama picha ya Lenie 🤔🤔🤔 ni weyeee Dr
Eeeh wengine hapa mashabiki ... Wengine wanakula 🍯🍖🍗Hahahaha
Naona kama weye Dr Lizzy kapata wapi picha yakoAbee 😂
😅😅😅 Hujaweka copyright sasa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
☺️☺️☺️ Mume wa pili je hutaki.. Ila Mie ulinitosa lakini🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Miaka yote niko single mnajidai hamnioni!🥴 ....sasa nimeona nijiweke kwa mwamba!😁😁
Ntamuuliza kama ni 🍯 au shubiri!!!😁Eeeh wengine hapa mashabiki ... Wengine wanakula 🍯🍖🍗
Hiyo ni 🍯 pro max kabisaaNtamuuliza kama ni 🍯 au shubiri!!!😁
Hahahaaaaaaaa tulia kijana acha fujo 😄
☺️☺️☺️☺️ Au ni weyeee bossHahahaaaaaaaa tulia kijana acha fujo 😄
Aaaaaah weeeeeeeeeh dhubutuu si umemwona mnyama subby lakn huyooo 😄 tunamuota tu wengine hapa Dr Lizzy☺️☺️☺️☺️ Au ni weyeee boss