Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Sidhani kama Mwamba ataelewa!🤔☺️☺️☺️ Mume wa pili je hutaki.. Ila Mie ulinitosa lakini
Hmmm...lini hiyo?? mzabzab na Mzee wa kupambania walikuwepo???😄
Sidhani kama Mwamba ataelewa!🤔☺️☺️☺️ Mume wa pili je hutaki.. Ila Mie ulinitosa lakini
Hahahah,nawe si yupo unayemlaEeeh wengine hapa mashabiki ... Wengine wanakula 🍯🍖🍗
Hao hawakuwepo.. mzabzab na Mzee wa kupambania wanajua mbona nilichezea kitasa
Mie maneno tu..hakuna nae mla wala nini.. vibogoyo hawali mifupaHahahah,nawe si yupo unayemla
HahahahaMie maneno tu..hakuna nae mla wala nini.. vibogoyo hawali mifupa
Usije kunipa msala bhana mi sipo 😄😅😅😅😅😅 Nakuona tu una push subbie hapo.. na mkono wa mtoto Dr Lizzy na Ka kinywaji... Mlikuwa mnaenda wapi mzee
Nyíe wakimywa ndio watu wabayaHahahaha
😅😅😅😅 😅😅😅...Usije kunipa msala bhana mi sipo 😄
Yaani huyo National Anthem kazingua
Karibu sana mdogo wanguNext week nakuja Arusha
Huu ni muda wa Mwamba au sio???🤪🤪Hahahaaaaaaaa tulia kijana acha fujo 😄
Mie sina ubaya wowoteNyíe wakimywa ndio watu wabaya
HahahahahaHuu ni muda wa Mwamba au sio???🤪🤪
HajahaHuu ni muda wa Mwamba au sio???🤪🤪
[emoji23]Karibu sana mdogo wangu
Naandaa msafara wa kuja kukupokea
Kazingua sana!!! Sijajua nia yake....🤔Yaani huyo National Anthem kazingua
Walaji wanasemaga???🙄Mie maneno tu..hakuna nae mla wala nini.. vibogoyo hawali mifupa
Wanajf kazi kwetu kuandaa suti kuja kucheza kwaito 😄Huu ni muda wa Mwamba au sio???🤪🤪
Nilitaka waje kutoa ushahidi!!🤓Hao hawakuwepo.. mzabzab na Mzee wa kupambania wanajua mbona nilichezea kitasa
mume wa pili ni mume wa Siri 😅😅😅😅... Hawezi kujua
😅😅😅 Tuwe wawili tu, mie mme mdogo...Nilitaka waje kutoa ushahidi!!🤓
Nakuchukua we wa siri...alafu natafuta na mwingine wa siri zaidi!!!😁