Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,414
- 95,883
Amkeni
Tuko machoAmkeni
Em ondoka urudi kwenu aiseeeKaribuni uhuumsos 6000View attachment 2691361
Ahahahahh nitaondoka si hamnitaki sawa 🤣🤣Em ondoka urudi kwenu aiseee
Kila muda malalamiko tu
Jamani, nimefika mpenzi jana nilikosa time ya kuingia huku
Limtori bayaa 😂😂
Litamu sana nipo huku kwa wamasai nilitaka kupigwa dah et wananishangaa kazi zingine hizi acha tuLimtori bayaa 😂😂
Naomba nyama🙂
Ukuje ufwaate sawaNaomba nyama🙂
Wanakushangaa nn?Litamu sana nipo huku kwa wamasai nilitaka kupigwa dah et wananishangaa kazi zingine hizi acha tu
Si walion mgeni af naon nivile kutojitambulishaWanakushangaa nn?
Nimekutana nacho 😀Tuselfike na #voda#
Super dope 😍