raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,859
- 36,953
Hakika 🍻😄
Hakika 🍻😄
Mmeru 😏Lewa mama...nawe inaelekea sio mrahisi...mkurya nini wewe
Zero brain hua hawanisumbui kabisa, ndio maana nawapuuzia.Una roho ya dhahabu sana binti.
Mapongo wanasoma kimya kimya.
Baadae wamtume yule mtoto aliyepatikana chini ya mwembe mwenye makamasi aanze ujinga wake.
Hakika 🍻😄
Umewazidi Wameru wewe.Mmeru [emoji57]
Bora kulewa unakua zako busy kuyumba🤣🤣😂😂😂😂😂 Niendelee kulewa mie 🏃♂️🏃♂️
Ila dii inaonekana leo uko na vibe sana 😄Wa SA waendelee kutuburudisha 🥂🥂
Kuna akina sisi hatuachagi vita, tukipoteza pambano tunaanda lingine, hata miaka 10 tutafanya shambulio la kushtukizaZero brain hua hawanisumbui kabisa, ndio maana nawapuuzia.
I was raised better[emoji3059]
Kuna mtu alinambia pale hapakosekani 35+ 🤣🤣Zero brain hua hawanisumbui kabisa, ndio maana nawapuuzia.
I was raised better🥰
Hahaa hivi inakuaga hawana maisha mengine?Kuna akina sisi hatuachagi vita, tukipoteza pambano tunaanda lingine, hata miaka 10 tutafanya shambulio la kushtukiza
🤣🤣🤣🤣 sawa sawaUmewazidi Wameru wewe.
Lakini usiwe fala komaa na wewe
🤭Hahaa hivi inakuaga hawana maisha mengine?
Like lazima umchafue mtu ndio upate raha?
Au maybe mtu anaishi boring life🤭
DT on the beat🤣🤣🤣Kuna mtu alinambia pale hapakosekani 35+ 🤣🤣
Hee mtoto em niwe na adabu kwa mashangazi zetu. Wangewahi kuolewa wangenizaa kabisa 🤣🤣
I've been drinking, I've been drinking
I get filthy when that liquor get into me
I've been thinking, I've been thinking
Why can't I keep my fingers off it?
Baby, I want you, na-naaaa 🎤🎤😋🤣
😂😂😂😂 na ndani niko mimi, mziki na hivi vi heinekenIla dii inaonekana leo uko na vibe sana 😄
Wacha weeeeee uko mwenyewe 😄😂😂😂😂 na ndani niko mimi, mziki na hivi vi heineken
Chino wana man 🥂DT on the beat🤣🤣🤣
Ngoja nifungue chupa ya 2, aisee hii kitu ni tamu balaa😋😋
Kidogo tu chiefInaonekana unapajua Misungwi vizuri sana chifu! 😁
Kichwa chako we mtoto, sio kwa matusi haya hahaha.Kuna mtu alinambia pale hapakosekani 35+ [emoji1787][emoji1787]
Hee mtoto em niwe na adabu kwa mashangazi zetu. Wangewahi kuolewa wangenizaa kabisa [emoji1787][emoji1787]
I've been drinking, I've been drinking
I get filthy when that liquor get into me
I've been thinking, I've been thinking
Why can't I keep my fingers off it?
Baby, I want you, na-naaaa [emoji441][emoji441][emoji39][emoji1787]
Cigars on ice cigars on ice 🎤😄Kuna mtu alinambia pale hapakosekani 35+ 🤣🤣
Hee mtoto em niwe na adabu kwa mashangazi zetu. Wangewahi kuolewa wangenizaa kabisa 🤣🤣
I've been drinking, I've been drinking
I get filthy when that liquor get into me
I've been thinking, I've been thinking
Why can't I keep my fingers off it?
Baby, I want you, na-naaaa 🎤🎤😋🤣