Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Hadi kulima nalimaMashaalalaaahhh hivi unapika kweli wewe
Hadi kulima nalimaMashaalalaaahhh hivi unapika kweli wewe
Hamna namna, weekend iendelee🥂View attachment 2689882
Muhimu kwakweliJipongeze mtoto mzuri
Una maneno sana mkuu, kamnyweso ndio nini tena hahaUnapenda kamnywesooo
Aiiiii maisha yafaa nini bila kachupa kamoja?Unapenda kamnywesooo
Ishi maisha yako mkuu, najua mapongo wakiona hivi wameficha nyuso za hila uvunguniMuhimu kwakweli
Mapongo🤣🤣🤣🤣🤣Ishi maisha yako mkuu, najua mapongo wakiona hivi wameficha nyuso za hila uvunguni
Una roho ya dhahabu sana binti.Mapongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waje tu tujumuike, +ve vibes only hapa[emoji1635]
Sina baya na mtu mimi
mapozi mengine bana😂View attachment 2689879
Arumeru Arusha vumbi sio lakitoto
Hehheee mbona Mapongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ishi maisha yako mkuu, najua mapongo wakiona hivi wameficha nyuso za hila uvunguni
Ngoja nikapate moja baridi nitarejea kuzima motoHehheee mbona Mapongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Stand ya zamani chief
auntie una mkono mzuri😁Hamna namna, weekend iendelee🥂View attachment 2689882
😂😂😂😂😂 Niendelee kulewa mie 🏃♂️🏃♂️Una roho ya dhahabu sana binti.
Mapongo wanasoma kimya kimya.
Baadae wamtume yule mtoto aliyepatikana chini ya mwembe mwenye makamasi aanze ujinga wake.
Huyo sio mkweli nahisi alilenga kukwambia uache uchawa na kutumwa khenge weweNimerudi at last. Hapo kwenye ukorofi umekosea sana
Ukorofi upi huo mi ni mpole mbona [emoji848].
Anyway kazi iendelee [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante totoo🤗auntie una mkono mzuri😁
Inaonekana unapajua Misungwi vizuri sana chifu! 😁Stand ya zamani chief
Lewa mama...nawe inaelekea sio mrahisi...mkurya nini wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Niendelee kulewa mie [emoji2089][emoji2089]