Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Morning [emoji1780][emoji8]morning dear [emoji73], how bout a morning [emoji8] to brighten yo day
Feel blessed to have another blessed day!!
Morning [emoji1780][emoji8]morning dear [emoji73], how bout a morning [emoji8] to brighten yo day
Mnyama wa kibabe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Good morning. Ratiba yangu ni kulala 8 hrs labda itokee tu mara moja moja sanaaaa. Hivyo mwili ushajiset ikifika muda wangu wa kulala usingizi debe.
Jamani jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Umenisalimia, kuitikia imekuwa nongwa kweli?
Great View
@ Engineers Capacity Development Forum # Mtana Hall - Kijitonyama
Ye ndo atakuwa Pierre wa Twitter 😆Dotto kashindikana
Pole Mkuu, mwenyewe nimeingia night kali ya 6 usiku ili kuwahi event. Site visit nitakuwa SGRNingekuwa hapo leo ila ufala wangu wa kukesha umenigharimu, site visit wapi mkuu?
Ukisoma alichoandika mpaka urudie mara tatu ndo uelewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ye ndo atakuwa Pierre wa Twitter [emoji38]
😂😂😂Ukisoma alichoandika mpaka urudie mara tatu ndo uelewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani jamani 😋😋😋
Huyo baharia atakaye sogea karibu kwa binti kipenzi cha baba atapata tabu sana.
Kama ulivyo na baba naahHahahahahaha
Mimi naweza chat na mtu jukwaani kumbe hata pm hatujawahi fika!! Ila ukituona utadhani tunaishi mtaa mmoja