Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilishapona hata huo ufa ulishaziba kwa uwezo wa Muumba. Sometimes Ukuu wa Allah ni wa juu Santa kuliko hata mambo yote yanayotupata kwenye huu ulimwengu tunaoishi
Really Mungu anatupenda sana hakuna kubwa kwake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaweza kuzimia [emoji23][emoji23]
Huyo Musa alimkuta moze Tena awe Iyobo na viuno vile atasikitika Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
 
A class of 2001 pamoja na RC wa Mbeya wa Sasa hivi. Pale Misufini
Misufini, kulikuwa na mwalimu maarufu sna anaitwa Kimanda.

Nilipita hapo nikaondoka la tatu, vipi na secondary umesoma huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…