Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilitaka pika vibamaa, nisitoboe kati kati umbo lilivotokaa, kabla sijaanza kuweka kwa mafuta, mama aliharibu vyotee, na matusi juu " huo uwendawazimu kamfanyie marehemu shangazi yako makaburini huko mbwa wewee"
🤣🤣🤣🤣🤣Mama anateseka sana na mapishiyako
 
John umempendelea ni joh

Yosef utasikia Jose au J

Hawa hawaendi
Akina Yusuf
Akina Shwdrack Meshack na Abednego
Wanajiita Mesha.

Kweli ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko wanaume kuingia ufalme wa Mungu.
 
Kwanza nani atawaruhusu?
Ukiona umekutana naye mmoja ujue umepotea njia

Ni jehanam huko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Na walivyo vipofu wa mambo mazuri, hawawezi ona njia ya mbinguni hao viumbe
 
Eeh

Wakachomeke motoni kidogo, wakitia huruma na kuomba msamaha ndio tuwaombee waingie mbinguni
Kuna uzi nimesoma asbh
Dada analalamika mumewe anacheat.

Akamkamata mara ya pili na msg,akakataa.


Wanaume wanachangia eti kwanza huyo mwanaume anajua principles za kuchepuka..
Rule no1 ukikamatwa ni kukataa,kutokiri kosa hadi kiama.

Hawa labda watengeneze mbingu yao.
 
Wenzao akina Ishmail wapo peponi huko
Ila siku hizi wanajiita sheik Ubwabwa.

Akiyanani

Joshua
Wanajiita J...ujanja mtupu.

Hawa akina Adam ndo kabisaa
Hao ndo wabaya Zaid 🤣🤣akina abdallah wanajiita dula 😂😂
Abdul nae et dully 🤣🤣🤣
Suleimani Sasa utasikia nite sulesh🤣🤣🤣🤣
 
Hao ndo wabaya Zaid
akina abdallah wanajiita dula

Abdul nae et dully

Suleimani Sasa utasikia nite sulesh
Nilisahau

Wapo wenye jina la mwezi mtukufu
Wanajiita Rama.

Eti Dullah yaani aisee jina tu limekaa kitapelitapeli..Hawa wote motoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…