John umempendelea ni joh🤣🤣🤣[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Yohana sikuizi eti ni akina John
Wanaume wakiingia Mbinguni sijui tutaona.
Jack Palladino kesho saa ngapiIko byeeee kesho
Nilitaka pika vibamaa, nisitoboe kati kati umbo lilivotokaa, kabla sijaanza kuweka kwa mafuta, mama aliharibu vyotee, na matusi juu " huo uwendawazimu kamfanyie marehemu shangazi yako makaburini huko mbwa wewee" [emoji23][emoji23][emoji23]Ulitak ziwe kma katless[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie wakienda tuandamane🤣🤣John umempendelea ni joh🤣🤣🤣
Yosef utasikia Jose au J😂😂😂😂😂
Hawa hawaendi
Saa 12 jioniJack Palladino kesho saa ngapi
Basi fresh, nitaoga mapema keshoSaa 12 jioni
🤣🤣🤣🤣🤣Mama anateseka sana na mapishiyakoNilitaka pika vibamaa, nisitoboe kati kati umbo lilivotokaa, kabla sijaanza kuweka kwa mafuta, mama aliharibu vyotee, na matusi juu " huo uwendawazimu kamfanyie marehemu shangazi yako makaburini huko mbwa wewee" [emoji23][emoji23][emoji23]
Akina YusufJohn umempendelea ni joh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yosef utasikia Jose au J[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa hawaendi
Ni kukata rufaa😂😂😂😂Nyie wakienda tuandamane🤣🤣
Uoge wapi nakupitia job🤣Basi fresh, nitaoga mapema kesho
🤣🤣🤣🤣NimechekaAkina Yusuf
Akina Shwdrack Meshack na Abednego
Wanajiita Mesha.
Kweli ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko wanaume kuingia ufalme wa Mungu.
Kwanza nani atawaruhusu?Nyie wakienda tuandamane[emoji1787][emoji1787]
Eeh 🤣🤣🤣Ni kukata rufaa😂😂😂😂
Wenzao akina Ishmail wapo peponi huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ni patashikaa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama anateseka sana na mapishiyako
Bila kusahau akina Benard kujitia Benny🤣🤣🤣Akina Yusuf
Akina Shwdrack Meshack na Abednego
Wanajiita Mesha.
Kweli ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko wanaume kuingia ufalme wa Mungu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwanza nani atawaruhusu?
Ukiona umekutana naye mmoja ujue umepotea njia
Ni jehanam huko[emoji38]
Ismaïl wanaitwaa SumaWenzao akina Ishmail wapo peponi huko
Ila siku hizi wanajiita sheik Ubwabwa.
Akiyanani
Joshua
Wanajiita J...ujanja mtupu.
Hawa akina Adam ndo kabisaa
Mimi fly-fishingHiyo tutakunywa wote
Kuna uzi nimesoma asbhEeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakachomeke motoni kidogo, wakitia huruma na kuomba msamaha ndio tuwaombee waingie mbinguni