Shangaziii mnifunde kuhusu kupikaa, sio kwa uvivuu huu.
G siku hiyo aliamua kunichana makavu, na ilinichomaajee nilinuna na kumwaga chakula.
Alisema "yaan ungekua unajituma kwenye kupika km kwenye kusex mbna ungenenepa na kunawirii"
Siku ilee alinichomajee moyoo.