Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie ndo nakutana na visangaa vya kudharauliwa, hadi najisemeaga kwan sifananii au vipii?
 
mkuu fanya uoe.. au cheki hata na demu wa mzabzab alie lala nae janaa.. aje akupikie πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…..
Mke kasafiri mwanawane tabu tupu aisee πŸ˜…

🀣🀣🀣 yule demu wa mzabzab atakuwa ameamka na hangover leo. Nilishangaa mods waliufuta ule uzi nilitaka akamlale pale Jamirex Hotel
 
Nazururaa bhanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi hata cheti cna? Ankoliii acha kunichoraa.
πŸ˜…πŸ˜… mbona wengine tulipata kazi bila cheti, na hadi leo vyeti sijawai tumia kwenye ajira.. Mala ya pili wanaiambia upo TCRA nkajua ndio shavuuu nije nione ma mitambo
 
Mke kasafiri mwanawane tabu tupu aisee πŸ˜…

🀣🀣🀣 yule demu wa mzabzab atakuwa ameamka na hangover leo. Nilishangaa mods waliufuta uke uzi nilitaka akamlale pale Jamirex Hotel
mod wakuda kinoma... ma mod ya humu ya watu wao, hata waandike mavi mavi huoni nyuzi zao zikiguswaaa.. Jamirex mbali kidogo na mlimani city .. jamaa hadi mda huu sijamuona itakuwa ana hangover ya pussycat πŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie ndo nakutana na visangaa vya kudharauliwa, hadi najisemeaga kwan sifananii au vipii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku nimeshuka Dodoma Airport mpaka natoka nje TAXI hata hawanisumbui yaani..
 
mod wakuda kinoma... ma mod ya humu ya watu wao, hata waandike mavi mavi huoni nyuzi zao zikiguswaaa.. Jamirex mbali kidogo na mlimani city .. jamaa hadi mda huu sijamuona itakuwa ana hangover ya pussycat πŸ˜…πŸ˜…
Hahahaa🀣 inaonekana mzeiya kibuyu kilijaa sio poa

Mods wakuda sana wakaona labda tunazitangazia biashara hotel za karibu na Mlimani City daah! πŸ˜…

Ila natumaini mwanetu atakuwa alipata hotel nzuri ya kugegedea mrembo wake
 
Jana bimkubwa kanitembelea kaniletea samaki wabichi. Sasa nataka jioni nikirudi niwabanike ndo niwapike hebu nisaidieni mchakato wa kubanika nafanyeje

Cc; Aaliyyah Dr Lizzy Tinsley
Kuna kubanika kwenye wavu hii wajuzi watakuja sijawah jaribu
Waoshe watoe utumbo na magamba ya nje kama wanayo kata vipande unavyotaka

Mm nawekaga ndimu chumvi kitunguu Swaumu na tangawiz lakin tangawiz si lazimq mm Huwa napenda kale kaladha lake

sambaza vizuri kwenye samaki wako ukimaliza

Washa mkaa watoe samaki kwenye bakuli weka kwenye sufuria palia kama wali Kwa moto wa wastani
Njia ya pili
Waoshe waweke viungo Kisha wabandike jikoni acha maji yake Yale yakauke ,Usiweke maji wakishakauka unapalia kama wali had wakauke kabisa
 
Hahahaa🀣 inaonekana mzeiya kibuyu kilijaa sio poa

Mods wakuda sana wakaona labda tunazitangazia biashara hotel za karibu na Mlimani City daah! πŸ˜…

Ila natumaini mwanetu atakuwa alipata hotel nzuri ya kugegedea mrembo wake
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hadi sasa hivi yupo kimyaaa.. ujue kapatwaaa na utamu wa pussycat... banaaa mzabzab bado umelewaaa nini.. au kamtoa mtoto out hapo Woolworths... achukue na viwalo baada ya kupewaa vitu adimu kabisaaa
 
Pia awaweke juani hili viuongo vikolee
 
Asante sana Aaliyyah umeeleza vizuri nitatumia hizo njia 2 za mwisho ni rahisi πŸ™πŸ™πŸ™
 
Pia awaweke juani hili viuongo vikolee
Samaki hawana uvumilivu Sana km nyama wasije wakaozana hiv sio mzoefu na viungo ni rahis kukolea sababu ni lain muhimu wakat wa kukata vipande km ni Wakubwa awachane kidogo viungo viingie ndani kama hivi
 
Attachments

  • Screenshot_2023_0710_120403.png
    155.4 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…