Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,283
- 95,580
Karibu kongoro
Dah,hiyo shule iko mjni kweli?Low cut mwanzo mwisho.View attachment 2681237
Nje kidogo ya mji.Dah,hiyo shule iko mjni kweli?
Ndio maana,pole na majukumuNje kidogo ya mji.
Naona madogo meno nje kiongozi ulienda kuwamwagia madawati nn 😁Low cut mwanzo mwisho.View attachment 2681237
Dokta hapa imekosekana kachumbari tu 😁
Asante sana mkuu.Ndio maana,pole na majukumu
Natamani ingekuwa hivyo ,nilikuwa na piga domo tu na suti yangu ya mchongo kama matapeli wa Karume.Naona madogo meno nje kiongozi ulienda kuwamwagia madawati nn 😁
One day itakua ,usijariNatamani ingekuwa hivyo ,nilikuwa na piga domo tu na suti yangu ya mchongo kama matapeli wa Karume.
Hamna kiongozi sio kwa kusindikizwa huko na msafafa 😄Natamani ingekuwa hivyo ,nilikuwa na piga domo tu na suti yangu ya mchongo kama matapeli wa Karume.
PamojaAsante sana mkuu.
Aliyetupikia kasahau!😵😵Dokta hapa imekosekana kachumbari tu 😁
Madogo walijua mnene kaingia ,kumbe ushuzi tu .Mwakani nikienda ntaenda hata na mfuko wa peremende😄😄Hamna kiongozi sio kwa kusindikizwa huko na msafafa 😄
HahahahahaMadogo walijua mnene kaingia ,kumbe ushuzi tu .Mwakani nikienda ntaenda hata na mfuko wa peremende😄😄
Dr,
sijui nitype nini😂Hii baridi inatukomesha sisi single girls🥺