🤣🤣🤣🤣 Miaka 8 nyuma yanguNilikuwa darasa la saba
Hapana chezea tukawa tunajiita LY .
Miaka mitano aiseee 😅😅😅Nilikuwa four 4😂🤦🤦
Vyema sana🤣🤣🤣🤣 Miaka 8 nyuma yangu
Unataka kusema mi niko 40 something??😂Ah uongo
Usikute ulikuwa unapiga masters hapo ndo umeanza
Sijaelewa hii code😂😫😫😫
Halafu leo Hii unakula sahani moja na malijendari 🤒
LabdaUnataka kusema mi niko 40 something??😂
😂😂KumbeHuyu dogo anayeenda sambamba na Malijendari halafu akija kufikia Ulijendari anakuwa na akili za Utoto sasa 😅
Hutak au😂😅
🤣 Daah
Piga hesabu😂 pre-unit wa 2009 ni mwanachuoLabda
Humu under 30,tuko wachache kweli .
Miaka 14 iliyopita tu hapoPiga hesabu😂 pre-unit wa 2009 ni mwanachuo
2009 kitambo ujue😂
Mbona unakazia hapo kwenye 40 smthing😂kumbe ni forty something 😂😂
Weee😂Miaka mitano aiseee 😅😅😅
Heeheee my favourite people 40 something 😂😂Mbona unakazia hapo kwenye 40 smthing😂
Unataka unifanye nini😂
Mi sipo huko😂Heeheee my favourite people 40 something 😂😂
Uwe rafiki yangu 😂😂😂
Waseme ukweli tu kma sisi vibibiMiaka 14 iliyopita tu hapo
Nyie mnaojifanya wadogo kumbe ni forty something 😂😂
Hata hao 40's hapanaMi sipo huko😂
Mimi ni teenager, vitu hutumiagi😂
Wanawake tunawahi kuzeeka sanaWaseme ukweli tu kma sisi vibibi
Wazee waliochangamka hakuna kijana wa miak 45😀😀🏃ila wanakuwa vizuri kwakweli sisi tukifika 45 ni vikongweWanawake tunawahi kuzeeka sana
Hawa wenzetu wakiwa 45 ni vijana ati .