Ushakuwa swimmer eeh ๐๐We ukipata muda njoo
Mimi naogelea kila siku๐
Selfika na JF: Snap it. Show itNational Anthem niaje babu
Natafuta ukurasa ule uliweka nyimbo za Diplomatics
Naam, naaaam!
Wee hukuwepoo, niliwekaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mtoto mbona jana ukadanganya wazee[emoji28] kuhusu TBT
Niko Home, kwani vipii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii siku basi tulikuwa pamoja.Ushakuwa swimmer eeh [emoji7][emoji7]
Last week nimepanda pantoni tukakimbilia lile la Azam .
Basi tukifika kati kati ya maji bhana
Likagoma since watu walikuwa wamejaa mbele .
hivyo ikafanya pantoni ilemewe upande mmoja .
Ndo watu kuongea weh ndo wakasogea nyuma ndo likaanza kwenda .
Next time napanda tu Mv. Kazi kwa kweli ..
Yaani sina hamu , si wengine tuko nyuma huku wengine wanakaa mbele huko kweli .Hii siku basi tulikuwa pamoja.
Watanzania vichwa vigumu
Unawaambia sogea nyuma hawataki,wanajazana mbele.
Ndo maana siku hizi huwa wanashusha watu kabla haijaondoka.
Eeh bora wafanye hivyoHii siku basi tulikuwa pamoja
Ndo maana siku hizi huwa wanashusha watu kabla haijaondoka.
Lile kubwa linakeraYaani sina hamu , si wengine tuko nyuma huku wengine wanakaa mbele huko kweli .
Mv kazi ilikuwa empty kabisa na tukangangania kile kidude kukikapanda .
Kuna mda nilitaka kuhamia kigamboni baada ya siku ile , sitaki kabisa .
Wanamgomea kwa sababu tayari wapo kwenye maji na kuwashusha hawawezi.Eeh bora wafanye hivyo
watu wabishi sana wanamgomea hadi Askari .
Napandaga treni linagoma lakini hamuwazi sana ila pantoni uwii .
Kimeniacha hoi wakati wa kushuka
Kina dance dance ๐๐
Uzito upo mbele .
Bora hilo kubwa , hilo la AzamLile kubwa linakera
Linachelewa sana kuondoka ndo maana tunakimbilia kidogo..nao wanajishaua wale..Kuna muda wanakera.
Mi huwa nakaa seat ya mbele ili nisipate shida muda wa kushuka
Wala huwa sikimbii๐ila huwa nakaa mbele,mdogo mdogo naanza kuingia kabla hawajamaliza kutokaBora hilo kubwa , hilo la Azam
Na bado tukafika muda mmoja .
Upo vizuri kwenye mbio , mie nilikuwa nimechoka sana siku hiyo .
Jamani yani tungejua tungeonana .Wanamgomea kwa sababu tayari wapo kwenye maji na kuwashusha hawawezi.
Wale wote vichwa vibovu wanaogandia pale mbele huwa wanashushwa kabla hakijaondoka..afande anachora line,wote waliozidi wanashushwa.
Ile siku hawakusimamia..watu wakajisimamia hovyoo..mi nikajisemea tu hapa lazima tunase leo.
Waliokaa kusimamia ile siku ni wazembeJamani yani tungejua tungeonana .
Mimi niliona wengi nikasema mmhh ngoja tuone . .
Wafanye tu hivyo aisee , uzuri huku watu hawana mizigo .
Yah pako slippery sana .Wala huwa sikimbii๐ila huwa nakaa mbele,mdogo mdogo naanza kuingia kabla hawajamaliza kutoka
Usizoee kukimbia pale,utapitiliza baharini,panateleza sana .
Ukiwa unapanda just for leisure then panda MV kazi au kombe lile MV Kigamboni
Ila kama una haraka kama mimi ndo unaona umuhimu wa kile kidogo.
Yeah kwa kweliWaliokaa kusimamia ile siku ni wazembe
Yaani kukata pale kwenye ngazi kuja mbele,wowote huwa wanashushwa
Na wanaambiwa kabisa wahini Panton kabla haijaondoka
Muda mwingine inakuwa haipo na wanashushwa hawana utani.
Tungeonana ,sema ndo kutokujua.
Ndo hivyohivyo watu wanakimbiagaYah pako slippery sana .
Basi unakaa mwanzoni sana ile wamefungua geti wewe huyo .
Siku hiyo watu walikimbilia kile kidude tafikiri mabasi ya gongo la mboto ๐๐๐
Next time ni Mv kazi au yenyewe kabisa .