Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,133
Tuma macho tu only kijanaMkuu mimi ni wale macho kumchuzi kama Wu Lei
Tuma macho tu only kijanaMkuu mimi ni wale macho kumchuzi kama Wu Lei
Nakutext hapa angalia inboxWasap ya wapi kijana
Namba yako mwisho ngapi mkuu 😱😱😱😱Nakutext hapa angalia inbox
😂😂Namba yako mwisho ngapi mkuu 😱😱😱😱
Unajiona umekua sasa 🤓🤓😂😂😂😂
Raha gani na hela sina😂💔Dyadyaa unanenepa siku hizii, Una raha mnoo eeh??![]()
Halafu sasa nimekonda sana.Wee kunenepa huko vepee??![]()
Thubutuuuu wee, umenenepa akatiHalafu sasa nimekonda sana.
Kuna nguo juzi nimevaa naona inateremka tu




Kama yupo mikono salama sawa😄
Unajuaje kama sitoi dogo?Na hutoi huduma
Sura aina nuru kaka 😅Unajuaje kama sitoi dogo?
😮😮
Naomba mchape mwanafunzi wako uyo msumbufu🤣🤣🤣Niacheee
Juzi af ujue uyo jirani yangu ee ofis yake na yangu ni pua na mdomoUmeiona lini sura yake?![]()
Utakuwa mtiifu 🤣🤣
Mikono salama🤣😂😂, Mimi ni nyumba ya mabachelor konkodi🤣😂Kama yupo mikono salama sawa😄