Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,766
- 58,329
Yaaah acha uwoga kabisaNgoja ntume OG
Yaaah acha uwoga kabisaNgoja ntume OG
Mkuu kumbe ni wewe ngoja nkuchek whatsap
Mi bora mtu afiche kila kitu ila macho tuu ndo shida yangu 🤓🤓🤓🤓🤓Wewe unatakaga macho ya watu ili iwaje? 😂 😂 😂 😂
Wasap ya wapi kijanaMkuu kumbe ni wewe ngoja nkuchek whatsap
Mkuu mimi ni wale macho kumchuzi kama Wu LeiMi bora mtu afiche kila kitu ila macho tuu ndo shida yangu 🤓🤓🤓🤓🤓
Unataka uwone sura kabisa wakat umetaka kuona kipara kijanaunaziba sura
Tuma macho tu only kijanaMkuu mimi ni wale macho kumchuzi kama Wu Lei
Nakutext hapa angalia inboxWasap ya wapi kijana
Namba yako mwisho ngapi mkuu 😱😱😱😱Nakutext hapa angalia inbox
😂😂Namba yako mwisho ngapi mkuu 😱😱😱😱
Unajiona umekua sasa 🤓🤓😂😂😂😂
Raha gani na hela sina😂💔Dyadyaa unanenepa siku hizii, Una raha mnoo eeh?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee kunenepa huko vepee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha gani na hela sina[emoji23][emoji174]
Halafu sasa nimekonda sana.Wee kunenepa huko vepee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutuuuu wee, umenenepa akati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu sasa nimekonda sana.
Kuna nguo juzi nimevaa naona inateremka tu
Kama yupo mikono salama sawa😄
Unajuaje kama sitoi dogo?Na hutoi huduma
Sura aina nuru kaka 😅Unajuaje kama sitoi dogo?