Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,152 Reaction score 43,110 Jul 1, 2023 #348,041 Tinsley said: Men are natural providers while women are natural receivers Wewe ndo ulipe and not otherwise . Click to expand... It is good that you have decided to put your words straight, so he should prepare himrself to be the giver and you to be the receiver???π€£ π€£
Tinsley said: Men are natural providers while women are natural receivers Wewe ndo ulipe and not otherwise . Click to expand... It is good that you have decided to put your words straight, so he should prepare himrself to be the giver and you to be the receiver???π€£ π€£
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,704 Jul 1, 2023 #348,042 Manyanza said: Hiv Hivi Prof Cuthbert Kimambo bado yupo CoET ? Click to expand... Bado yupo
begi la pesa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2019 Posts 1,822 Reaction score 2,862 Jul 1, 2023 #348,043 aise msaada kwenye tuta .niko nasikiza ngoma za ntombi marhumbini-wana mamana,nuna wanga,xibiyana na bovoza ,aisee wazee wetu walifaidi kinoma ,si tumebakia na miziki ya ajabu.Asanteni r.i.p ntombi marhumbin
aise msaada kwenye tuta .niko nasikiza ngoma za ntombi marhumbini-wana mamana,nuna wanga,xibiyana na bovoza ,aisee wazee wetu walifaidi kinoma ,si tumebakia na miziki ya ajabu.Asanteni r.i.p ntombi marhumbin
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,704 Jul 1, 2023 #348,044 Aaliyyah said: Hongera sana Click to expand... Asante Mjukuu, ila naweza kutokwenda hadi Wajukuu zangu hao akina cocastic wahitimu shule zao aibu kusoma na wajukuu zangu shule moja π
Aaliyyah said: Hongera sana Click to expand... Asante Mjukuu, ila naweza kutokwenda hadi Wajukuu zangu hao akina cocastic wahitimu shule zao aibu kusoma na wajukuu zangu shule moja π
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Jul 1, 2023 #348,045 Grahams said: View attachment 2675030 Wanasema Elimu haina mwisho, lakini kuingia darasani na wajukuu zangu akina Mwachiluwi mshamba_hachekwi na mwenzao cocastic nahisi aibu kwa Uzee huu π€ͺ Click to expand... Mkuu hongera Mungu akisaidia nitakuwa kurasini
Grahams said: View attachment 2675030 Wanasema Elimu haina mwisho, lakini kuingia darasani na wajukuu zangu akina Mwachiluwi mshamba_hachekwi na mwenzao cocastic nahisi aibu kwa Uzee huu π€ͺ Click to expand... Mkuu hongera Mungu akisaidia nitakuwa kurasini
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,152 Reaction score 43,110 Jul 1, 2023 #348,046 begi la pesa said: ntombi marhumbin Click to expand...
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,704 Jul 1, 2023 #348,047 mshamba_hachekwi said: kujiajiri kugumuπ bora kukusanya vyeti Click to expand... Hahahaha.................lakini itakuwa balaa kufeli mbele ya Wajukuu ujue π
mshamba_hachekwi said: kujiajiri kugumuπ bora kukusanya vyeti Click to expand... Hahahaha.................lakini itakuwa balaa kufeli mbele ya Wajukuu ujue π
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Jul 1, 2023 #348,048 mshamba_hachekwi said: kujiajiri kugumuπ bora kukusanya vyeti Click to expand... Kusanya vyako
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,315 Reaction score 72,081 Jul 1, 2023 #348,049 Mwachiluwi said: Kusanya vyako Click to expand... nakusanya nije kuomba kazi ofisini kwakoπ
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jul 1, 2023 #348,050 Grahams said: View attachment 2675030 Wanasema Elimu haina mwisho, lakini kuingia darasani na wajukuu zangu akina Mwachiluwi mshamba_hachekwi na mwenzao cocastic nahisi aibu kwa Uzee huu Click to expand... mie nishatokaa bhanaaa, mie wa mtaani sasa.
Grahams said: View attachment 2675030 Wanasema Elimu haina mwisho, lakini kuingia darasani na wajukuu zangu akina Mwachiluwi mshamba_hachekwi na mwenzao cocastic nahisi aibu kwa Uzee huu Click to expand... mie nishatokaa bhanaaa, mie wa mtaani sasa.
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,315 Reaction score 72,081 Jul 1, 2023 #348,051 Grahams said: Hahahaha.................lakini itakuwa balaa kufeli mbele ya Wajukuu ujue π Click to expand... we usiwaze.... chuo elimu ya watu wazima... kwanza najua vile vi 1st yr vishamba hutoviacha salamaπ
Grahams said: Hahahaha.................lakini itakuwa balaa kufeli mbele ya Wajukuu ujue π Click to expand... we usiwaze.... chuo elimu ya watu wazima... kwanza najua vile vi 1st yr vishamba hutoviacha salamaπ
begi la pesa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2019 Posts 1,822 Reaction score 2,862 Jul 1, 2023 #348,052 Manyanza said: Click to expand... toto la ukweli mpaka udenda ushaanza kunitoka
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,704 Jul 1, 2023 #348,053 cocastic said: mie nishatokaa bhanaaa, mie wa mtaani sasa. Click to expand... Hongera kama umesha hitimu, sasa zamu ya Babu yako kuongeza maarifa juu ya shughuli zangu za shamba π€ͺ
cocastic said: mie nishatokaa bhanaaa, mie wa mtaani sasa. Click to expand... Hongera kama umesha hitimu, sasa zamu ya Babu yako kuongeza maarifa juu ya shughuli zangu za shamba π€ͺ
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Jul 1, 2023 #348,054 mshamba_hachekwi said: nakusanya nije kuomba kazi ofisini kwakoπ Click to expand... Njoo tu ila kusafir kila kukicha uosje ukakimbia au ukaharibu kazi
mshamba_hachekwi said: nakusanya nije kuomba kazi ofisini kwakoπ Click to expand... Njoo tu ila kusafir kila kukicha uosje ukakimbia au ukaharibu kazi
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Jul 1, 2023 #348,055 Intelligent businessman said: Watakuwa wameenda kula kwa bi ukwaju Nuzulati ππ Click to expand... Hapo kwa bi ukwaju naona kama limependeza zaidi au nibadili Id ππππ
Intelligent businessman said: Watakuwa wameenda kula kwa bi ukwaju Nuzulati ππ Click to expand... Hapo kwa bi ukwaju naona kama limependeza zaidi au nibadili Id ππππ
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jul 1, 2023 #348,056 Grahams said: Asante Mjukuu, ila naweza kutokwenda hadi Wajukuu zangu hao akina cocastic wahitimu shule zao aibu kusoma na wajukuu zangu shule moja Click to expand... Mie mbna tayari, Kuwa huru kupiga masitazi yakoo. Msalimie Kimambo the beat, Ntammic mnooo.
Grahams said: Asante Mjukuu, ila naweza kutokwenda hadi Wajukuu zangu hao akina cocastic wahitimu shule zao aibu kusoma na wajukuu zangu shule moja Click to expand... Mie mbna tayari, Kuwa huru kupiga masitazi yakoo. Msalimie Kimambo the beat, Ntammic mnooo.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jul 1, 2023 #348,057 Manyanza said: Hiv Hivi Prof Cuthbert Kimambo bado yupo CoET ? Click to expand... Amejaa teleeee
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,704 Jul 1, 2023 #348,058 Mwachiluwi said: Mkuu hongera Mungu akisaidia nitakuwa kurasini Click to expand... Shukrani Mkuu, Kumbe weekend tutakuwa tunakutana Mjini kula vyombo π
Mwachiluwi said: Mkuu hongera Mungu akisaidia nitakuwa kurasini Click to expand... Shukrani Mkuu, Kumbe weekend tutakuwa tunakutana Mjini kula vyombo π
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,704 Jul 1, 2023 #348,059 mshamba_hachekwi said: we usiwaze.... chuo elimu ya watu wazima... kwanza najua vile vi 1st yr vishamba hutoviacha salamaπ Click to expand... Hahaha.......ila Babu yenu Umri umenitupa mkono, sina mambo mengi ujue π
mshamba_hachekwi said: we usiwaze.... chuo elimu ya watu wazima... kwanza najua vile vi 1st yr vishamba hutoviacha salamaπ Click to expand... Hahaha.......ila Babu yenu Umri umenitupa mkono, sina mambo mengi ujue π
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jul 1, 2023 #348,060 Grahams said: Hongera kama umesha hitimu, sasa zamu ya Babu yako kuongeza maarifa juu ya shughuli zangu za shamba Click to expand... Kwa kweliii we ongezaa ujuzii tyuuh hapo, kwa kina Gurunzee (sitaji jina halisi lake) huyu mtu bas tyuuh. sisemi sanaa.
Grahams said: Hongera kama umesha hitimu, sasa zamu ya Babu yako kuongeza maarifa juu ya shughuli zangu za shamba Click to expand... Kwa kweliii we ongezaa ujuzii tyuuh hapo, kwa kina Gurunzee (sitaji jina halisi lake) huyu mtu bas tyuuh. sisemi sanaa.