Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Thank you
Thank you
Hivi navikata kata Kisha napika supu 😂🤣🤣, kitu fresh kabisa Aaliyyah
Watakuwa wameenda kula kwa bi ukwaju Nuzulati 😁😁Selfika mko kimya sana
Men are natural providers while women are natural receivers
We usinipige🤣😂, ntamfanyia Aaliyyah discount 😁😁Men are natural providers while women are natural receivers
Wewe ndo ulipe and not otherwise .
Tunataka wewe uwe diplomat bargaining officer, maana Aaliyyah hachelewi kunipiga🤣😂😂😂😂
Ni maelewana yenu tu
warembo leo hawajaweka pichaSelfika mko kimya sana
Wala hawachatwarembo leo hawajaweka picha
weekend hii sisi tulioko single hatuwezi elewa😆Wala hawachat
Dah,kweli kabisaweekend hii sisi tulioko single hatuwezi elewa😆
Hicho kidole cha pili ulikata na meno hizo kucha ?
Hapana sijakata na meno 😀sijawahi tafuna kucha siwez kabisaHicho kidole cha pili ulikata na meno hizo kucha ?
Hongera sanaView attachment 2675030
Wanasema Elimu haina mwisho, lakini kuingia darasani na wajukuu zangu akina Mwachiluwi mshamba_hachekwi na mwenzao cocastic nahisi aibu kwa Uzee huu 🤪