Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,001
- 45,706
ukitafuna na meno lazima tumbo liumeHapana sijakata na meno 😀sijawahi tafuna kucha siwez kabisa
ukitafuna na meno lazima tumbo liumeHapana sijakata na meno 😀sijawahi tafuna kucha siwez kabisa
ingia danta mzee😂 yote haya ni kwa ajili ya kuzisaka chapaaView attachment 2675030
Wanasema Elimu haina mwisho, lakini kuingia darasani na wajukuu zangu akina Mwachiluwi mshamba_hachekwi na mwenzao cocastic nahisi aibu kwa Uzee huu 🤪
Kumbe eehukitafuna na meno lazima tumbo liume
Hivi Prof Cuthbert Kimambo bado yupo CoET ?View attachment 2675030
Wanasema Elimu haina mwisho, lakini kuingia darasani na wajukuu zangu akina Mwachiluwi mshamba_hachekwi na mwenzao cocastic nahisi aibu kwa Uzee huu 🤪
Bora umemwambia 😀Men are natural providers while women are natural receivers
Wewe ndo ulipe and not otherwise .
Yaani natamani nibaki na Elimu yangu ya darasa la 4 ya Mkoloni tu 😅ingia danta mzee😂 yote haya ni kwa ajili ya kuzisaka chapaa
kujiajiri kugumu😂 bora kukusanya vyetiYaani natamani nibaki na Elimu yangu ya darasa la 4 ya Mkoloni tu 😅
It is good that you have decided to put your words straight, so he should prepare himrself to be the giver and you to be the receiver???🤣 🤣Men are natural providers while women are natural receivers
Wewe ndo ulipe and not otherwise .
Bado yupoHiv
Hivi Prof Cuthbert Kimambo bado yupo CoET ?
Mkuu hongera Mungu akisaidia nitakuwa kurasiniView attachment 2675030
Wanasema Elimu haina mwisho, lakini kuingia darasani na wajukuu zangu akina Mwachiluwi mshamba_hachekwi na mwenzao cocastic nahisi aibu kwa Uzee huu 🤪
ntombi marhumbin
Hahahaha.................lakini itakuwa balaa kufeli mbele ya Wajukuu ujue 😅kujiajiri kugumu😂 bora kukusanya vyeti
Kusanya vyakokujiajiri kugumu😂 bora kukusanya vyeti
nakusanya nije kuomba kazi ofisini kwako😂Kusanya vyako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nishatokaa bhanaaa, mie wa mtaani sasa.View attachment 2675030
Wanasema Elimu haina mwisho, lakini kuingia darasani na wajukuu zangu akina Mwachiluwi mshamba_hachekwi na mwenzao cocastic nahisi aibu kwa Uzee huu [emoji2957]
we usiwaze.... chuo elimu ya watu wazima...Hahahaha.................lakini itakuwa balaa kufeli mbele ya Wajukuu ujue 😅
toto la ukweli mpaka udenda ushaanza kunitoka
Hongera kama umesha hitimu, sasa zamu ya Babu yako kuongeza maarifa juu ya shughuli zangu za shamba 🤪[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nishatokaa bhanaaa, mie wa mtaani sasa.