Selfika na JF: Snap it. Show it

Ugali wa lowe ni mzuri sana
Unaweza hata kuubeba safarini ukiwa kwenye treni au hata basi[emoji28][emoji28][emoji28]
Yeah huwa wanauweka unaeza ufunga ukalia mbele ya safari!!
Naupenda sana Bk wanaita udaga!
Ukipata mboga ya shombo alooooh ntakula mpaka basi!!
 
Ugali wa lowe ni mzuri sana
Unaweza hata kuubeba safarini ukiwa kwenye treni au hata basi[emoji28][emoji28][emoji28]
Masharti yake usihifadhiwe kwenye jokofu ama sahani. Unakaa mwezi mzima. Unahifadhiwa kwenye majani maalum ya mgomba, unaliwa kwa mboga ama bila mboga, unaweza kusafiri nao popote kwenye begi

Unaitwa "Rowe" sio "Lowe" Antonnia
 
🙌😂😂 Unaujua huo ugali.
Nilikuta unauzwa sokoni nikashangaa sana, unafungiwa kama maandazi vile.

Usijali, maweze yapo ya kutosha, tena yale ya asili kabisa hayajapita kiwandani.
Fanya hivooo navisubiriaa shem akeee T!!!
 
Reactions: 511
Masharti yake usihifadhiwe kwenye jokofu ama sahani. Unakaa mwezi mzima. Unahifadhiwa kwenye majani maalum ya mgomba, unaliwa kwa mboga ama bila mboga, unaweza kusafiri nao popote kwenye begi

Unaitwa "Rowe" sio "Lowe" Antonnia
Weee kumbe uko vizure hapo naamini kweli mara moja moja ulitembelea KG!

Unga wake ukichanganya na Supa Ugali unakua mlaini fulani hivi mzuri sana!!
 
Reactions: 511
Mweh mshamba wakuja mwanamke yupoyupo tu naibwaje babu nawee!!
Kwanza Vijana sio fleva zangu mieee wana mambo miambiliiii ishirini kidogoooo😏!
Acha nipambane naharee yangu tyuuuu!!
Hahaha.............kwahiyo unataka kusema Mjeshi tulimpiga ile milioni 15 aliyotoa kama Mahari kukuoa? 🙈

I know you might be kidding 🤗
 
Reactions: 511
Wanasema Bandari ikichukuliwa na DP World ajira zitazalishwa nyingi huko bandari wakati huo huo wanasema watatumia Robots kufanya kazi

JK aliwahi kusema za kuambiwa changanya na zako 🙌
 
Reactions: 511
Shida yenu Vijana hamna ujasiri, mngekuwa mmezaliwa miaka yetu sidhani kama mngeweza kumfukuza Mkoloni na kuipatia Nchi Uhuru kama tulivyoweza Sisi Babu zenu 🤪
Noma sana
Mheshimiwe wazee wetu

Mimi wazungu nawapenda , wametuletea mambo mazuri , tungebaki vile sijui ingekuwaje .
 
Noma sana
Mheshimiwe wazee wetu

Mimi wazungu nawapenda , wametuletea mambo mazuri , tungebaki vile sijui ingekuwaje .
Hahahaha..............

Hii Nchi ingeendelea kutawaliwa na Wazungu hadi walau Mwaka 2000 huenda tungekuwa tumepiga hatua kama Afrika Kusini au zaidi.

Sisi kinachotugharimu ni Rushwa

Eti inasemekana yule Yuda Iskarioti aliyemuuza Yesu ana asili ya Tanzania.

Nikimaliza beer yangu ya nne nitataja Kabila lake 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…