Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kweli hii ??
Sijafuatilia mambo ya siasa siku nyingi .
Hapana Mjukuu, mpaka sasa DP World anaongoza 3 -0

Huenda sisi ndiyo tukawa Wazee wa mwisho mwisho kushuhudia Bandari ikihamishwa umiliki kwenda kwa WaDubai.

Sijui Wajukuu zenu watajivunia nini huko mbele ya safari

Anyways, wacha tunywe maji ya uzima si unajua weekend leo πŸ₯‚
 
Umetisha sana babu yake Antonnia
Chapa vyombo
Its Friday
 
So sad
Hayo ni ya kuyaacha tu

Tuishi tu , nchi ngumu hii .
 
mnooooo, yaan jeans zangu zotee lazima ziwe ripped, nikikuta nzima nikiipenda nachukua naichanaa ku modify.
Eeh upo wild wewe
Ninayo mmoja tu , na sio sana na niikivaa huwa najishtukia sana .
 
Reactions: 511
Zari kayakanyaga huko London, si alienda na kichaa mwenzangu Giggy mahelaaa, bas tafrani tupuu.

Mumewee kibentenii
Huwa simuelewi Zari , huu mwaka mbaya kwake , mara fantana na sasa hivi Lady naa

Kasema akienda kwenye interview za Visa hajielewi na ni f*la .

Aisee poor guy , na jamaa ni 1992, anaendeshwa kabisa na mkewe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…