Selfika na JF: Snap it. Show it

I agreed with you Bellissima 😅
But not too much beating
Binafsi wakati nakua nimekula mboko sana, kwa wote baba na mama hadi nikawa nahisi hawanipendi.
Ila kaukorofi nilikua nako sana tu, so badae nikaja kugundua kua walinisaidia kunishape vema.

So nadhani inategemea, of course too much beating nayo sio poa japo kuna watoto watukutu hadi wazazi wengine wameishia kupata magonjwa ya pressure.
 
Duuh waya jaman, huyo alizidisha.

Mzazi akiwa na hasira sana bora asiguse mtoto
 
Hahaa aisee
Kwa hiyo ukaona kabisa hii hapa
Hukushtuka ??

Labda hatumii sana ndo maana haonyeshi .
bangi mie naijua ikiwa ktk mbegu had ikiwa tayari kivunwaa, tumelimaa sanaa kwetuu.

Wala sio kitu cha ajabu kwangu, ila nimeshangaa yeye kuwa vilee, maana naowajua wote wanaojionesha kabisaa km wanatumia.

 
Heehee kumbe waijua vyedi
Mimi siijui hata sana , labda msokoto nitahisi

Anatumia kidogo
G ni balaa , anatumia ugenius wake everywhere .
 
Heehee kumbe waijua vyedi
Mimi siijui hata sana , labda msokoto nitahisi

Anatumia kidogo
G ni balaa , anatumia ugenius wake everywhere .
Naijua vyedii skankaaa,

G kani suprise mnoo kwa kweliii, woiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…