Same hereNilikuwa sikipendi kinoma,, [emoji23]
Nimekula sana canteen,, chakula cha shule nimekula kwa kuhesabu,,Same here
Day one nikajiuliza what is this .
Nashukuru sana Ulcers , nikawa nakula special diet [emoji23][emoji23]
Hiyo ya kishua sana hiyo shuleNimekula sana canteen,, chakula cha shule nimekula kwa kuhesabu,,
πππDagaa mchuzi mwingi had wanafufukaYaani niwakaribishe, wakati nimepika Dagaa mmoja, mchuzi beseniππ
Jirani i missed you ..Nimekula sana canteen,, chakula cha shule nimekula kwa kuhesabu,,
Vizuri na hongera sana inaleta rah kwakweliHuu ni mwaka wa 15 ninapika, but everytime nikipewa a compliment kuwa ni kitamu, it feels like the first time,,
Afu ni kadagaa kamoja 1 tu, kakifufuka nakaua TenaπππππDagaa mchuzi mwingi had wanafufuka
ππAfu ni kadagaa kamoja 1 tu, kakifufuka nakaua Tenaππ
πππVyakula vya shule nimekumbuka siku ya wali weekend mnaoga saa kumi kuwahi foleni ππHapanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee hela tulikua tunachanga na BF wangu, siwezi tumia zote naanzaje kwan, hata hivyo mbna sikua natumia sana, nilikua natumia vyakula vya shule, sina mambo mengi yaan.
Those daysπππ, wali mara 1 kwa wikiπππππVyakula vya shule nimekumbuka siku ya wali weekend mnaoga saa kumi kuwahi foleni ππ
Wali Umeiva???, Au we ndo muasisi was uchoyoππππ
Nimeenda kula Kwa jiraniWali Umeiva???, Au we ndo muasisi was uchoyoππ
Yatapitaa, usiwaze sanaππππ
Umeachwa tena?
Atafute hela, mwambie tu ukweli πYatapitaa, usiwaze sanaππππ
Nashindwa kuelewa sisy.. vilio tuuπππAtafute hela, mwambie tu ukweli π
Mi nipo naangua ubuyu na ukwaju kwenye mtiNimeenda kula Kwa jirani
Ujirani kufaana siku kama hizi