Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,734
- 3,310
Aaah mimi nilikuwa natafuta mchumba ningekuhitaji ILA kwa tabia ulizotuambia humu PIndi uko advance aisee hapana hunifai. Fanya haraka mrudiane na huyo BF akuoe lasivyo utapata tabu sanaBF tulikua wote wanafunzi, tushaachanaa mda tyuuh.
Kuolewaa mchezoo? Waoaji wapo sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaliyyah nisaidiee shangaziiiii
Chakula cha shule [emoji1787]Hapanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee hela tulikua tunachanga na BF wangu, siwezi tumia zote naanzaje kwan, hata hivyo mbna sikua natumia sana, nilikua natumia vyakula vya shule, sina mambo mengi yaan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyoooo mchumbaaa.Chakula cha shule [emoji1787]
vitu vyangu hivi😃Ahahaha nakujua mshikaji unapenda kuku njoo ukule
Kwa sifa na vigezo vilee mie tayari niko nje ya ulingo.Aaah mimi nilikuwa natafuta mchumba ningekuhitaji ILA kwa tabia ulizotuambia humu PIndi uko advance aisee hapana hunifai. Fanya haraka mrudiane na huyo BF akuoe lasivyo utapata tabu sana
Nilikuwa sikipendi kinoma,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyoooo mchumbaaa.
Mbuzi tutachinja mwisho wa mwaka tukiwa rombovitu vyangu hivi😃
ila napenda mbuzi zaidi
Wakat wake Bado inshallah atapataKwenye kupikaa huyu mdada anajua, kanifundisha kukaanga yai la nyanya, linatoka km chips zegee, afu tamuu balaaa.
G mda wote ndo anataka nimkaangie, to be the honest huyu mdada ana roho nzuri mnoo, kanifundisha kupikaa na vingne sikuwahi jua.
Sijui kwann serikali haimpi ajira, kila akiomba anakosa.
Mbna ana utu sanaaa.
Hakuna kitu kizuri kwa mpishi yeyote kama compliment ya chakula chake,, it's the best feeling everWakat wake Bado inshallah atapata
VizuriKwa sifa na vigezo vilee mie tayari niko nje ya ulingo.
Basi sawa ntamuambia turudianee.
😀😀Kwakweli kakufaa sana mm aunt yangu aliniangusha lkn nilikuwa tayar nipo chuo Anko hakuwaka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siri zangu nyingii anazo alikua mdada wetu wa kazi, Paulina popote ulipoo uwndelee na kifua hicho na moyo huo.
Yaan yulee km kuniweka wazi duniani bas ndo angekua yeye, wazazi na ndugu wanakuja kujua, yeye ashatokaaa zamanii,yaan sina cha kusema, wadada wa kazi wanayajua mengi ya familia kuliko hata familia enyewee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani acha tu ni rahasana mm huwa napika Sili wakat mwingine lazima nitoe hata kibakuli nimpe jirani hasa nikipika vyakula flan hiv watu wale Ile Asante chakula kitam najisikia furaha sanaHakuna kitu kizuri kwa mpishi yeyote kama compliment ya chakula chake,, it's the best feeling ever
Huu ni mwaka wa 15 ninapika, but everytime nikipewa a compliment kuwa ni kitamu, it feels like the first time,,Yani acha tu ni rahasana mm huwa napika Siri wakat mwingine lazima nitoe hata kibakuli nimpe jirani hasa nikipika vyakula flan hiv watu wale Ile Asante chakula kitam najisikia furaha sana
Yani mtu hata akija kunisalimia utasikia umepika nn. Leo na km kipo natoa km hamna ukikaa tu naingia jikoni
Vipi mzigo was ukwaju ushafika😁😁Napika kwa sasa ifikapo saa 7 naingia mzigoni😍
We ni kachoyo🙄😪😐 AaliyyahYani acha tu ni rahasana mm huwa napika Siri wakat mwingine lazima nitoe hata kibakuli nimpe jirani hasa nikipika vyakula flan hiv watu wale Ile Asante chakula kitam najisikia furaha sana
Yani mtu hata akija kunisalimia utasikia umepika nn. Leo na km kipo natoa km 😪hamna ukikaa tu naingia jikoni
Una nisema Sasa😂😂Yuko vizuri itakuwa watu wanaojua kupika wengi sio wachoyo Hawa wakuchemsha chemsha hivo supuzao za dagaa wananyima balaa hawali had mgeni aondoke
Nimeshachukua tayari 😀😀Sasa unasubiri nn changamkia fursa😀😀
Acha uchoyo😀😀Una nisema Sasa😂😂
Yaani niwakaribishe, wakati nimepika Dagaa mmoja, mchuzi beseni😂😂Acha uchoyo😀😀