Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu jirani anajua kukaangizaa vituu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nisepee zangu, mwsho kuja kuniita hapaa.

Bora akija akute nsha sepaa kitamboooooo, woiiiiiiiiih
 
Hhaha aunt unaogopa kuambiwa unadoea 😀😀😀
 
Hhaha aunt unaogopa kuambiwa unadoea [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile Eid kubwa, alinibananishaa yaan daah nilijiskia aibuuu, jana ashanambia leo sikukuu kanipa mualiko.

Hapa nifanye kusepaa tena kimya kimyaa, na sirudii mapemaa usiku nikute washalala, maana anawezaa kuja kunifata.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kale pilau huko mm ningeenda hotpot😀😀😀
 
Back
Top Bottom