Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba picha wakati unakunywa maji ya baridi๐Ÿ˜‚
Unadhani natania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
IMG_7769.jpeg
 
Mjep

Wee baba tamuuu, kisa nilikataa kubadili dini ndo na Eid hainihusuu?? Hebu ufanyee uletee mazaga zaga niandaee mnuso m1 matratraa sanaaa, yaan ntatoa kitu ki1 cha kwendraaaa utajilamba ulimi na kujiuma menoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au nije hapo hapo kwa mke mwenza mama wawili??
 
  • Thanks
Reactions: 511
Karibu aunt
Wew njoo upendavyo tu muhimu andaa tumbo tu[emoji3]
Wamekupa code Gabi nikupe majibu
Wakikuuliza Asalam aleykum unajibu waleykum salam [emoji3]ingia ndani nawa sema bismillah Anza na nyama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shangaziii huku walikonipa mualiko, wanasema nipige code za kujisitiri yaan nisioneshee hata ngozi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa mie nshazoea mifupa yotee nje ipambane na jua, naweza wapiii?? Woiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii tupuu.
 
Sponsor out ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kiukweli i wont brag ,kanisani nipo serious sana kauzu ile mbaya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
unaweza ukalipata huko church๐Ÿ˜‚ wale madon wanaingia ibada ya kwanza na suti wamepaki v8 nje
 
Shangaziii huku walikonipa mualiko, wanasema nipige code za kujisitiri yaan nisioneshee hata ngozi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa mie nshazoea mifupa yotee nje ipambane na jua, naweza wapiii?? Woiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii tupuu.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃPole mm nishaandaa jalbibi langu hapa sema Sina mtoko ni hapahapa home
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole mm nishaandaa jalbibi langu hapa sema Sina mtoko ni hapahapa home
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna code nilitaka nitupiee leo, ila bas tyuuh ntatupia weekend, leo nyamaa siachii kabisaa.
 
Back
Top Bottom