Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Naona comment imekutoa pangoni dada
Naona comment imekutoa pangoni dada
Kwakweli nimeshindwa kuvumilia yaani dada naumia nina uchungu yameanza lini hayaNaona comment imekutoa pangoni dada
Khaaaa kisa auntie naona mkweo transcend kabadili gear angani wanaume hawa jamani baba mmoja mama mmoja
[emoji3][emoji3][emoji3] tunawachora tuMnatujazia nyuki.
Utani jamaa shemeghi....[emoji23][emoji23]Sitaki kuamini kabisa
Kwakweli uvumilivu umenishinda yameanza lini haya
Hahahaaaaaa....
Ni utani bhana...
Mimi na Sakayo ni maji na samaki[emoji7][emoji7]
Mmh utani unaoendana na ukweli mimi siupendi jamani yaani naumia mimiUtani jamaa shemeghi....[emoji23][emoji23]
Naona comment imekutoa pangoni dada
Dada bora ujionee tuu!!Kwakweli uvumilivu umenishinda yameanza lini haya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wala jamaniHahahaaa....
Umegendua shunie anatumia brouza eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh utani unaoendana na ukweli mimi siupendi jamani yaani naumia mimi
Hapana jamani nimeumia mnoo yaani mnooDada bora ujionee tuu!!
Ila mimi nishazoea maumivu
Sakayo anaingiaje apa jamaniMuulize Sakayo hebu...
You are far too kind kaka.Japo huu ni uzi wa picha ila kwa vile watu wanatoa ya moyoni kidogokidogo sio mbaya na mie nikitumia hii fursa kuweka kachumbari.
Kiranga umekua msaada wa kunifanya nijifunze mambo mengi mkuu. Licha ya tofauti zetu kwenye baadhi yaambo (hii sifikirii ni tatizo) haijawahi kuwa sababu ya sie kukwaruzana.
Kama binadam wengine walivyo, kuna nyakati tunapishana lakini haijawahi kufikia kuvunjiana heshima. Ndio maana nnapokuita kaka, namaanisha.
Unajua kuchambua jambo au kutafakari kitu kabla ya kuchangia. Unatumia lugha ya kueleweka licha ya ukweli kwamba unaupeo ma uelewa mpana wa mambo kiasi unaweza kutumia maneno ya kitaalam tukabaki watizamaji tu.
Naendelea kupata upepo mwanana na tangawizi yangu pembeni
Heshima kwako mkuu
Mbona baba j jamani kutoka baba naahNiwaacheee baba J
Ndo hivyo dada jamani, mbona siku nyingi saaana jamani!!!!Daah [emoji134][emoji134][emoji134]
Sijambo najiona mapya tu mimi yaani ukipotea humu ukirudi kuna mapya
Kwahiyo shemeji yangu transcend kashakuwa baba j tena na ndugu yangu sakayo wameshaachana
Leo mmeamua kutuma MAUA sio?[emoji1651]
Pole sana jamani auntie!!Now usiku mwema for real, veeery sleepy. Msinipigie kelele mkaniamsha tena.
Na umbea wako wote hizi habari za baba j umeshindwa kunipaNdo hivyo dada jamani, mbona siku nyingi saaana jamani!!!!
Mimi niko singo kipenzi!