Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sijambo mimi jamani
Sijambo mimi jamani
Khaaaa kisa auntie naona mkweo transcend kabadili gear angani wanaume hawa jamani baba mmoja mama mmojaWewe nimekununia.
Kwakweli uvumilivu umenishinda yameanza lini haya
Sitaki kuamini kabisaNimekudaka mtumia brouza..![]()
Moja ya GT wachache waliobaki wa kizazi cha mwanzo cha JF...
Tutakuwa na kikao cha kifamilia kesho asubuhi. Usiku mwema kipenzi, uwe na usiku mtulivu.Khaaaa kisa auntie naona mkweo transcend kabadili gear angani wanaume hawa jamani baba mmoja mama mmoja
SITAKIIIIIIIII.Nikupe dhawadi ya usiku shee?
HahahahahahaHahahaa...
Asante auntie yangu na kwako pia ulale unono Yesu akutunze tuTutakuwa na kikao cha kifamilia kesho asubuhi. Usiku mwema kipenzi, uwe na usiku mtulivu.
Bado weweLeo mmeamua kutuma MAUA sio?![]()
Aise basi ngoja na mimi nitafungua twengine tutatu kila moja na jukwaa lake![]()






