Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,786
- 182,948
Watag tu.Niwatag kabisa au niwataje kawaida tu??
Watag tu.Niwatag kabisa au niwataje kawaida tu??
Au umefananisha na kitalolo...
Wanyaki neno kitalu ni jina la ukoo
Shee hilo pazia ubadilishe sasa.
Watag tu.
Shee hilo pazia ubadilishe sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We naogopa mie
Sijajua T3 sasa hivi kama wale wakuda wapo, maana yalikuwa yanajitegesha pale na vitambi vyao zote njaa tu zile...Uzuri mimi wadogo zangu wanakuja kunitembelea kila mwaka, nitawapeleka madukani wenyewe na vingine watanipora wenyewe waende kujiju huko kwenye customs bongo kuviingiza.
Hapa ndipo wanaosali wanaelewa maana ya "usitutie katika majaribu..."Karma naona hutaki shida za kutumia ma glass...ila guu nimelielewa mama[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1274550
Wooooi!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]masharti hayaruhusu
Mnatujazia nyuki.
Ulikuwa wapi? Picha imeshangaana hapo zaidi ya nusu saaHaya rudisha hiyo picha fasta kabla mashetani yangu ya kinyakyusa hayajapanda saa hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ma id yote hayo ya nini eti?? Au labda mimi ndiyo bado sijaona faida yake?? Shida za nini kuishi kama digidigi??
Hujatag vizuriHahah...@Mshana Jr hebu du ze nidful
Yup maasai food, maarufu sanaKitalolo ndio chakula e?