Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Watu na maexperiensi yenu.Watu wanapigia nazo madili humu
Unapata siasani anatumia hii, chitchat anakuwa ke anatumia ile, MMU anakuwa me anaweka zile sredi za kidouchebag na nyingine...si unajua almost watu wako retarded ni vile tu viwango vinapishana
Hapa ndipo wanaosali wanaelewa maana ya "usitutie katika majaribu..."
Msalimie JNimeshinda Salaama Mama J wangu..
![]()
Ni mtaji.majaribu haya
Ulikuwa wapi? Picha imeshangaana hapo zaidi ya nusu saa
Sababu nimekuwepo kitambo...mitkasi za wakuda wa hapa lazima nizijueWatu na maexperiensi yenu.

Watu wanapigia nazo madili humu
Unapata siasani anatumia hii, chitchat anakuwa ke anatumia ile, MMU anakuwa me anaweka zile sredi za kidouchebag na nyingine...si unajua almost watu wako retarded ni vile tu viwango vinapishana
MmhNimeshinda Salaama Mama J wangu..
![]()
Nakutania tu, najua we mzee wa Opus Dei kuna kazi zenu zile mapigo ya Spartacus zinataka sober mind muda wote.