Nimependa kucha za huyo mdada,[emoji16][emoji16][emoji3590][emoji16][emoji16]
View attachment 2669413
πππππ!! Wanyaru nasikia ndio wenyewe sasa bk wakasomeπ wanarushaaa balaaaπ!!yale yale tuu, sasa nikipata mnyaru si ndo naliwakilisha taifa?
Natakiwa nikonde maraha yakizidiHahaa ukonde tena? Sio utanenepa jamani
Love in the air !!ππβ€οΈππ
View attachment 2669413
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaani usiombe dr, ndo niliamini kwann mto kagera ulianzia Rwanda ukamwagikia Tanzania.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!! Wanyaru nasikia ndio wenyewe sasa bk wakasome[emoji16] wanarushaaa balaaa[emoji4]!!
Afu ngara wamejaaa kama wote!!
Hivi ukanda ule kuna siri gani waitu lol!! Au ni nature ya vyakula????πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaani usiombe dr, ndo niliamini kwann mto kagera ulianzia Rwanda ukamwagikia Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we na hiyo rangi yako basi hupati shida kuuza, wateja wanakuja kushangaa muuzaji mzunguMaeneo ya vijinini changamoto Lughaaaa! wengi wakija dukani wanaulizia vitu kwa kilugha![emoji23][emoji23][emoji4][emoji4]!!
Wabaguzi balaa!! Labda biashara ya guest[emoji4]!!
Nafikiri ni nature tu, japo wengine wanasema ni ndizi ila sidhan, mbona moshi wanakula sana ndizi lakin mpaka tuweke mate[emoji1787][emoji1787]Hivi ukanda ule kuna siri gani waitu lol!! Au ni nature ya vyakula????[emoji4][emoji4][emoji4]
Weee wana ruango na bwetwale balaa yanii mie nakomaa kibishi ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we na hiyo rangi yako basi hupati shida kuuza, wateja wanakuja kushangaa muuzaji mzungu
Nawajua sana, ndo mana nikasema duka lako litakuwa la kuja kujionyesha kwa kutanya manunuzi.Weee wana ruango na bwetwale balaa yanii mie nakomaa kibishi !
Sema wanapenda totoz lol[emoji4][emoji4]!!
Kitambi kisije kukuzidia ukashindwa funga kamba za viatu bure πNatakiwa nikonde maraha yakizidi
Kunenepa ni jau, nitakuwa goigoiπ
OgeleaUzi umejaa maji π¦
Weka pilipili nyingi kwa bagia na sambusaKitambi kisije kukuzidia ukashindwa funga kamba za viatu bure π
Usinenepe hata
Chumvi ni nyingi, I can't swim πOgelea
Mtaalamu wa kulia kafikaπ LenieUzi umejaa maji π¦
Nahisi na vyakula mnywani kwa uzoefu wangu nilivyoona ni vyakula unajua kwaniniπ€π€π€π€π€π€!!Nafikiri ni nature tu, japo wengine wanasema ni ndizi ila sidhan, mbona moshi wanakula sana ndizi lakin mpaka tuweke mate[emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni uongooooNafikiri ni nature tu, japo wengine wanasema ni ndizi ila sidhan, mbona moshi wanakula sana ndizi lakin mpaka tuweke mate[emoji1787][emoji1787]