Nina ukishua gani mimiMtoto wa kishua, we kila kitu unasikia, njoo kwa fieldπ€£
Rudi kwanza home kuna ma blessing kibaoyaan hatarii tupuu.
Ila mie siwezi rudi home, labda nishindwee kabisa kujitafutaa.
Nabaki huku huku,
Na hata nikirudi songea, ntaenda kupangaa kwangu. Ila home tenaa hapanaaa.
Ntarudiii yess, ila nikirudi kwa graduu Dec, sitaenda tena songea.Rudi kwanza home kuna ma blessing kibao
π€£π€£π€£Ila usimwambie Jack Palladino na huyu mwenye shamba la bangi kule kisimiri mshamba_hachekwi kuwa umefurahi kusikia hivyo. Watanisagia kungini hawa nikose bagia π π
Mungu ni mwema dearyaan hatarii tupuu.
Ila mie siwezi rudi home, labda nishindwee kabisa kujitafutaa.
Nabaki huku huku,
Na hata nikirudi songea, ntaenda kupangaa kwangu. Ila home tenaa hapanaaa.
Sema tafuta leseni kama unaweza,, huwa inakuwa na michongo mikubwa kinyama,,Ntarudiii yess, ila nikirudi kwa graduu Dec, sitaenda tena songea.
Huku bushi wanapenda kuvaaa kupendezaaa kwa gharama yoyote sema huku wanapenda speshoo lol waone nguo ina chata ya Diamond sijui alivaa msanii fulani Alooooooohh utauza balaaa ππππ!!Na vizuri sana
Biashara ya nguo nzuri sana
All the best π
Weh kumbe basi huko kuzuri sana .Huku bushi wanapenda kuvaaa kupendezaaa kwa gharama yoyote sema huku wanapenda speshoo lol waone nguo ina chata ya Diamond sijui alivaa msanii fulani Alooooooohh utauza balaaa ππππ!!
Weee kwenye graduuuu nakosajeeee miee lazima nikujeeee Desemba ntakua hukooo!!ππNtarudiii yess, ila nikirudi kwa graduu Dec, sitaenda tena songea.
Naahidi kuwa mtiifu kwako, kama mgambo na kirungu chake. Nitakulinda kila uendako, kikubwa nisikose bagia kila wikiπ€£π€£π€£π€£
Hii ni siri yetu sisi wenyewe wawili, hao hawatajua kitu.
Na bagia nitakua nakutumia kila week
Kabisaaa yaan dear, tukazee kiubishii.Mungu ni mwema dear
Hakuna kigumu chini ya jua
Mie nishaamabiwa nirudi home , sitaki kabisa kupasikia , nipo nimekaza shingo
Ngoja tujifunze maisha hivi hivi kiubishi .
Ipo siku
Itajulikanaa baada ya graduu, kwa sasa nipumue kwanzaaa.Sema tafuta leseni kama unaweza,, huwa inakuwa na michongo mikubwa kinyama,,
Ni kukaza tuKabisaaa yaan dear, tukazee kiubishii.
Hainaga kupumuaItajulikanaa baada ya graduu, kwa sasa nipumue kwanzaaa.
Sasa utasababisha niwe natuma bagia zikiambatana na sambusa, ndio hizo huduma ziwe maradufu ππ₯°Naahidi kuwa mtiifu kwako, kama mgambo na kirungu chake. Nitakulinda kila uendako, kikubwa nisikose bagia kila wikiπ€£
Maeneo ya vijinini changamoto Lughaaaa! wengi wakija dukani wanaulizia vitu kwa kilugha!ππππ!!Weh kumbe basi huko kuzuri sana .
Tafuta na vingine vya kuwavutia jinsi mtaji unavyokuwa
Be blessed
Duh so sadMaeneo ya vijinini changamoto Lughaaaa! wengi wakija dukani wanaulizia vitu kwa kilugha!ππππ!!
Wabaguzi balaa!!
Hakika utanifanga nikonde kwa maraha, maana bagia za mrembo ni tamu sana. Nitakulinda kama nyuki na asali yake. πSasa utasababisha niwe natuma bagia zikiambatana na sambusa, ndio hizo huduma ziwe maradufu ππ₯°
1. Mutukula wanauza baadhi ya vitu bei chee kuliko dar, mfano mashuka utayolalia ukija ni ya huko.Ahaaa asante ngoja nimwelekeze!! Bukoba sio kwa kununua vitu huku ni kuna bei balaaa!!