Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
Inaitwaje?Nzuri sana though
Hupotezi muda na pia nywele inachelewa kuota .
Inaitwaje?Nzuri sana though
Hupotezi muda na pia nywele inachelewa kuota .
Eeh unazipatia sanaKumbe, pole
Mi pia najiweka mwenyewe
Cha mhimu upate dawa inayoendana na Sina ya nywele yako
InawezekanaHee😂
Unajipakaje sasa?
Ungeomba mtu akupake.
Kinachonipa shida,wengi hawajui Bado namna ya ku-retouchEeh unazipatia sana
Na zilivyo ndefu .
Yeah ni ukipata itakayokupenda
Tafuta inayoendana na nywele yakoHahaa narudia 😂😂😂
Imebaki yaani , zikiota tu napaka
Nyie hamjui naungua zaidi na dawa za kisasa
Nimezichoka
Rahisi uwa najipaka mwenyeweHee😂
Unajipakaje sasa?
Ungeomba mtu akupake.
DuhRahisi uwa najipaka mwenyewe
Eeh sasa hii yule dada kaniambia isishike chini ,
mimi bhana uwii nikasema ah itakuwa kawaida tu nimezoea eh kumbe muhogo ni mchungu sana dadeq .
Napaka tu tayari nikaanza kusikia naumia . nikawahi kuosha na zimekolea 😂😂😂
Saluni wanazingua sana , mimj napenda kwenda saluni za wanaume kwanza wanajua kustyle nywele .Kinachonipa shida,wengi hawajui Bado namna ya ku-retouch
Dawa ya muhogo inaitwaDuh
Dawa gani hiyo
Inaitwaje 🤣
😂😂😂😂Rahisi uwa najipaka mwenyewe
Eeh sasa hii yule dada kaniambia isishike chini ,
mimi bhana uwii nikasema ah itakuwa kawaida tu nimezoea eh kumbe muhogo ni mchungu sana dadeq .
Napaka tu tayari nikaanza kusikia naumia . nikawahi kuosha na zimekolea 😂😂😂
SanaaSaluni wanazingua sana , mimj napenda kwenda saluni za wanaume kwanza wanajua kustyle nywele .
ukitoka na umependeza na nywele zavutia .
AiseeInawezekana
Hata mi najiweka mwenyewe vzr tu
Mara chache naenda saluni
Duh 🤣Dawa ya muhogo inaitwa
Natural ..
Nikimzoea yule dada nitamuuliza 😂😂😂
Wadada anajishaua na kukuchana vibaya vibaya .Sanaa
Wengi wapo kibiashara , kwahiyo usipoijua nywele yako ni shida
Mimi madawa madawa hayo nimewahi kuweka mara moja tu nadhaniNzuri sana though
Hupotezi muda na pia nywele inachelewa kuota .
HahaaAisee
Unajionaje sasa kisogoni
Nilitumia olive baada ya muda aisee ikanifanya niwe kitukoDuh 🤣
Naisikiaga tu
Ila mi dawa ikinielewa natulia hapo, na nahakikisha natumia full package
Yanachoshq sana madawaMimi madawa madawa hayo nimewahi kuweka mara moja tu nadhani
Washenzi ,waliniharibia nywele,nimehangaika snNilitumia olive baada ya muda aisee ikanifanya niwe kituko
Nilikosea na kutumia ya kopo
Huku kwenye kichogo zote zikakatika .
Ikabidi ninyoe mwaka ule .