Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Anachakaza figo na maini.

Apunguze kidogo aisee..



Shkamoo Mjep,tajiri wa Roho,nafsi na pesa
Tajiri wetu majobless[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marahaba mdogo wangu

Sina utajiri wowote mama Junia
Acha kijana ale maisha
 
Marahaba mdogo wangu

Sina utajiri wowote mama Junia
Acha kijana ale maisha
Tajiri wa Roho
Kutoa ni moyo

Kuna sie wenye mioyo yetu ila hatuna hata mia za kutoa[emoji23].


Lile bando nilibeba humu vocha wiki zile limeisha Jana.
Mungu akubariki mno.
 
Back
Top Bottom