Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Ndio ila sio kula kama mchwasi ulisema unataka kunenepa😂
Ndio ila sio kula kama mchwasi ulisema unataka kunenepa😂
Mbona nyama chache sana?🥺Jack Palladino Lenie Karibuninsasa
Nyingi utakula kwenye harusi yao sawaMbona nyama chache sana?🥺
😅😅😅Nyingi utakula kwenye harusi yao sawa
Vumilia tu
Nimewasafishia na jikoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usinambiee.
Nakujaa nae
Naona unamuongezea ribs kwa Kachu kachu mbali yake 😂View attachment 2668402
Karibu tule dogo [mention]Mwachiluwi [/mention]
Kweli Kaka anahudumia.
Chocolate😊
🙏🙏🙏Chocolate😊
🤣🤣🤣🤣 JmnKweli Kaka anahudumia.
Umematch nywele,kucha,earrings na blauzi
Limao nyingi sana chiefView attachment 2668402
Karibu tule dogo [mention]Mwachiluwi [/mention]
Mkuu limao inapunguza alcoholLimao nyingi sana chief
Zinamaliza damu😁😁
Weka na chumvi kidogo mambo yanakua bam bamMkuu limao inapunguza alcohol
Tequila lazima uweke chumvi na limao, hii vodka napoza makali tu😅Weka na chumvi kidogo mambo yanakua bam bam
Sawa chiefTequila lazima uweke chumvi na limao, hii vodka napoza makali tu😅