Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,235
Sijamaliza kuzoom umefuta.Mbona ndogo sana
Sijapentaš
Sijamaliza kuzoom umefuta.Mbona ndogo sana
Inapunguza uoniMbona ndogo sana
Inakuja soonElfu 2 kwanza
Mjep usinipe vocha tafadhaliInakuja soon
šInapunguza uoni
Utaanza kuvaa miwani
Anataka adumbukie kundi letu la vipofuš¤£Inapunguza uoni
Utaanza kuvaa miwani
Madam hiyo chai inakubabua usoJpili yangu imeishia hivi
Niko mahali namalizia wikiš¤£
Yaa sio blue kabisaa
Ni akwa blue inaitwaš¤£
Nimebandika kiswahili
Wasalimie ArushaJpili yangu imeishia hivi
Niko mahali namalizia wikiš¤£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo tushindwee siee tyuuh.Si unapaona lakini
Mshindwe nyie.
Na zile perfume za bei ghali zinazidi kupamba location
Umechelewa nimefuta picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo tushindwee siee tyuuh.
Nimecheka hadi nimetaka kudondokaMadam hiyo chai inakubabua uso
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli tajiri wa majoblessAnachakaza figo na maini.
Apunguze kidogo aisee..
Shkamoo Mjep,tajiri wa Roho,nafsi na pesa
Tajiri wetu majobless[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo njiani tunakujaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namsubiri Coca location[emoji23]View attachment 2668505
š¤£š¤£š¤£ NimechekaMadam hiyo chai inakubabua uso
Tayana-wog ni stylish ile mbayaOhoooš¤£š Mimi hapo chenga
Mtaalam wa rangi Tinsley atakuja kunifafanulia hiyo Akwa bluu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah aisee
Natoa ila usinipe vocha
Nipe elfu 2 kama elfu 2
Nimetingwa[emoji1787]
App inasumbua, hata nisingeonaa.Umechelewa nimefuta picha