GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,679
- 18,008
Hii ni breakfast? Au snack,?Jack Palladino Lenie Karibuninsasa
Definitely haiwezi kuwa lunch ya mtu mzima.
Hii ni breakfast? Au snack,?Jack Palladino Lenie Karibuninsasa
Kwanini? Kwamba chakula kidogoHii ni breakfast? Au snack,?
Definitely haiwezi kuwa lunch ya mtu mzima.
Eeh, kichache.Kwanini? Kwamba chakula kidogo
Nipo njiani😋😋Njoo ukule sasa ushushie na peps
Acha utani bas mkuuEeh, kichache.
Au nikutumie kwa boltNipo njiani😋😋
Kitapoa, nakuja kupakua mwenyewe.Au nikutumie kwa bolt
Sijui ni mimi pekee yangu ama la!.Jack Palladino Lenie Karibuninsasa
Itakuwa kwangu mimi naona kichache ila kwako ni kawaida.Acha utani bas mkuu
Ukoko ukila unasugua na sufuriKitapoa, nakuja kupakua mwenyewe.
Napenda na ule ukoko wake
Asante mm kachumbali nataman kukata kila siku ila muda sina mda mwingine nachelewa kutoka job naachana naySijui ni mimi pekee yangu ama la!.
Ila kachumbari haijawahi kunivutia kabisa. Situmii hata ugali unikabe kooni bila mboga.
Hongera Mkuu, chakula kitamu.
Mimi sio mraji naogopa kitambiItakuwa kwangu mimi naona kichache ila kwako ni kawaida.
Akuuuu 😅Ukoko ukila unasugua na sufuri
unapenda maisha mazuri sana....😂Hiko chakula kama hakina nyama ni ubatili
We hupendi?unapenda maisha mazuri sana....😂
sipati picha
hapo unasuuza koo hushibiJack Palladino Lenie Karibuninsasa
napenda😂We hupendi?
Ahahaha wew nishakuzoeahapo unasuuza koo hushibi
si ulisema unataka kunenepa😂Ahahaha wew nishakuzoea
Good 🤗napenda😂