Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,331
Juma pili ya kula kujigalagaza Jack Palladino achan kunywa pombe unakonda
sasa hapo unajigalagaza kweli?🥺Juma pili ya kula kujigalagaza Jack Palladino achan kunywa pombe unakonda
Chakula kipo jikon ngoja kiive bassasa hapo unajigalagaza kweli?🥺
Hiko chakula kama hakina nyama ni ubatiliChakula kipo jikon ngoja kiive bas
Nasubiri pic hapa😀Chakula kipo jikon ngoja kiive bas
Ahahahah nimeweka ila kiuchoyo 🤣Hiko chakula kama hakina nyama ni ubatili
Nakula kimya kimya 😅😅Nasubiri pic hapa😀
Kwanini lakiniAhahahah nimeweka ila kiuchoyo 🤣
Mbona ukuleta mbuz tuchinjeKwanini lakini
Na unajua me mfugaji
weka pic acha wogaNakula kimya kimya 😅😅
Hujasema mapemaMbona ukuleta mbuz tuchinje
Ila sijachelewa jioni nitakuja chukusHujasema mapema
Acha haraka nimepalia embu subiri kiive ukila kibich utaaharishaweka pic acha woga
Za jumapiliAh haya siondoki
HahahahaUnataka kuni pik
Pilau 😍😋😋Jack Palladino Lenie Karibuninsasa
Njoo ukule sasa ushushie na pepsPilau 😍😋😋
My fav msosi