Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alafu mbahili kama mfuko wa saa, Na ww siunapenda mafaranga.
Hakufai
Lovelovie,
FB_IMG_16869110643680513.jpg
 
Huyo hajui utani, anapenda kumfanya mtu aonekane wa hovyo ana masifa ya kijinga [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Utani wake anavuka line ya utani
Mimi wala sina shida nae dia niko poa [emoji7][emoji7]
Haya sawa
 
Ndio unataka ukamhonge babe wako
Kama 10k miezi sita imagine 2m mika mingapi[emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro countrywide ana pesa hana shida ndogo ndogo 2million kwake kitu kidogo sana! [emoji12]
 
Back
Top Bottom