Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baby wangu sio mambo yake hayooo kabisaaaa
Sema wewe ndio mlishindwana na bichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kasema wewe libayaaaaaa na mkitambi wakoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee😂🤣🤣, I like the way I am🤗.
👉Vipi wewe mwenye komwe Kama bati jipya🤣😂
 
Cute Wife na Intelligent businessman haya yalikua ni matani lkn huku mnaenda si sawa.
Acheni haya mambo kwa jina la Muungano.

Huyo hajui utani, anapenda kumfanya mtu aonekane wa hovyo ana masifa ya kijinga [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Utani wake anavuka line ya utani
Mimi wala sina shida nae dia niko poa [emoji7][emoji7]
 
Huyo hajui utani, anapenda kumfanya mtu aonekane wa hovyo ana masifa ya kijinga [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Utani wake anavuka line ya utani
Mimi wala sina shida nae dia niko poa [emoji7][emoji7]
Kumbe Ume maindi😂🤣🤣, mi na change Kama mashairi ya w. Shakespeare 😂🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijawai kumiliki komwe nina kichwa kizuri hata baby wangu anakipenda
😂🤣🤣
FB_IMG_16861716305204032.jpg
 
Back
Top Bottom