Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,973
- 26,963
Haya sawaHuyo hajui utani, anapenda kumfanya mtu aonekane wa hovyo ana masifa ya kijinga
Utani wake anavuka line ya utani
Mimi wala sina shida nae dia niko poa![]()
Haya sawaHuyo hajui utani, anapenda kumfanya mtu aonekane wa hovyo ana masifa ya kijinga
Utani wake anavuka line ya utani
Mimi wala sina shida nae dia niko poa![]()
😅 😅 😅 hii ni mshahara wangu kwa miezi 11 aiseeUmezoea selfie wewe, $5000 pesa ndogo sana kwa wife material bro.
Mrembo Saint Anne, Mtoto mzuri nambie?
Bro una umwa ehu😂🤣🤣, Eti million 10 ndogo🤔😂Umezoea selfie wewe, $5000 pesa ndogo sana kwa wife material bro.
Bro mi ni kwa Miaka 10🤣😂😅 😅 😅 hii ni mshahara wangu kwa miezi 11 aisee
dah, nasindikiza mzee, kwa ivyo kwa tinsley nihesabie maumivu ?Duu hapo unaishi au unasogeza siku?
kanistua aiseeBro mi ni kwa Miaka 10🤣😂
Ndio unataka ukamhonge babe wako
Kama 10k miezi sita imagine 2m mika mingapi![]()





bro countrywide ana pesa hana shida ndogo ndogo 2million kwake kitu kidogo sana! 
Kumekucha broo, amka usije kojoa kitandani 🤣😂😂.Duu hapo unaishi au unasogeza siku?
Nilikumiss tuMrembo Saint Anne, Mtoto mzuri nambie?
Mkuu huenda kwako ni hivyoo🙄, ila Mimi hiyo naitafuta Miaka 10Hiyo si ni hela ya salon tu hapo
Tinsleydah, nasindikiza mzee, kwa ivyo kwa tinsley nihesabie maumivu ?
Acha kambaERROR 404, Photo No Longer Exist
Nyumbani wazima mrembo? Unaendeleaje lakini.Nilikumiss tu
Naomba selfie.