Kuna limkaka limoja humu ye alikuwa akiniqoute ananibadilishia content ya comment yangu..ataweka neno baby au upuuzi wowote atakao jisikia, nikareport akakula ban ya mwezi mzima 😂😂
Sikupenda maana mtu akija kucheck atahisi me ndio nilikuwa najibebisha