[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani umeona enh?? Nilikuwaga sijawahi kujua hilo ila siku hizi na mimi nimejikuta natambaa na beat tu!!
Yaani mkaka akiniita baby namuitikia baby mdada akiniita dear namuitikia dear maana nimeshagundua that's how the thing goes
Ila mwanzo nilikuwa nikiona watu wanaitana hivyo nikawa najua ni wapenzi kweli au ni ndugu kweli kumbe ni swaga tu
Mwisho wa siku genge lichangamshwe
Hallelujah
Taratibu tuu utalainika
Mtoto somo linakuongia taratiiiiiibu...
Haha kuna watu humu wana mambo ya ajabu... Kuna mtu alinikomaliaga kwenye jukwaa hadi PM eti mm ni DemissMie kuna mtu aliwahi niambia mwandiko wangu unafanana na wa id moja hivi kongwe tu humu akanitajia hiyo id halafu akanambia huyo dada anaishi nje nikamuambia siyo mimi sina id zaidi ya moja humu
Mmmmhhhhhhhh[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] no siwezi kulainika kwa ambao hawapo kwa list yangu aisee,, siwezi kusema sana ila kuna watu nimegoma kabisa japo kufahamiana nao tu achilia mbali kuonana nao..
FursaAu sio baby??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikukushtua nini tena?! Wewe bado nakumind tuMbona hukunishtua eti
UwiiiiiiiBongo
@Karma
😂😂😂😂 Kwenye mabano nimecheka daaah....Yaani umeona enh?? Nilikuwaga sijawahi kujua hilo ila siku hizi na mimi nimejikuta natambaa na beat tu!!
Yaani mkaka akiniita baby namuitikia baby mdada akiniita dear namuitikia dear maana nimeshagundua that's how the thing goes
(Ila mwanzo nilikuwa nikiona watu wanaitana hivyo nikawa najua ni wapenzi kweli au ni ndugu kweli kumbe ni swaga tu)
Mwisho wa siku genge lichangamshwe
Hukunistua niwaone warembo jamani!!Sikukushtua nini tena?! Wewe bado nakumind tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mie ni mtoto wa kike bhana si unajua mila zetu haziruhusu wanawake kutongoza wanaume??
Niambie uko wapi? Mwananyamala au BuzaUwiiiiiii
Ungeitika tuu jamaniHaha kuna watu humu wana mambo ya ajabu... Kuna mtu alinikomaliaga kwenye jukwaa hadi PM eti mm ni Demiss
Wee hapo inategemea na mkaka mwenyewe. Lol
Yaani umeona enh?? Nilikuwaga sijawahi kujua hilo ila siku hizi na mimi nimejikuta natambaa na beat tu!!
Yaani mkaka akiniita baby namuitikia baby mdada akiniita dear namuitikia dear maana nimeshagundua that's how the thing goes
Ila mwanzo nilikuwa nikiona watu wanaitana hivyo nikawa najua ni wapenzi kweli au ni ndugu kweli kumbe ni swaga tu
Mwisho wa siku genge lichangamshwe
Yaani ujione?!Hukunistua niwaone warembo jamani!!
Niko singida mimi jamaniNakuja ....
Ila Desemba..! Kesho Twende makao makuu.