Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu upo dunia ambayo kiatu hakijui vumbi ni kitu gani? Kuna dunia viatu navyo vinafurahia maisha[emoji39]
Viatu vyangu kupata vumbi ni vigumu sana, kwa sababu nikikivaa leo, kukirudia ni mpaka miaka miwili ipite, halafu kikitoka mlangoni nyumbani kinapiga hatua chache kwenda kwenye BMW, kikitoka kwenye BMW, kinapiga hatua chache kuingia ofisini.

Kinachopata tabu labda rubber ya mazoezi kwenye treadmill.

Haya mabuti na vimoka niliacha kuhesabu nilipofikisha 600, kuna vingine hata kuvaa bado sijawahi kuvivaa.

Sasa katika mazingira hayo, vumbi labda kwenye closet, na mimi nyumbani full AC sifungui madirisha, vumbi kufika kwenye closet ni tabu sana.

Just sayin'.
 
@Karma
 
Hahaha nakumbuka vizuri zile kordo zilikuwa hazitoshi.( I was there)


Kelele za njaaaaaaaaaaaaaaaaa
njaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Ulikuwaga ukiziimba kweli
wewe

Zikianzia 5 kule 6 wanajibu pia njaaaa
 
Mpinga Kristo kumbe hata nyuzi kama hizi huwa unakuwepo pia?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…