Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Simple but classy...😊
Simple but classy...😊
Kwa hyo mim ni kizuka au sioHamna mtu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejifunza kwa lazima!!!🤗Navuka feri kila siku [emoji38] hadi nishazoea
Mungu huyuu
Amenipeleka sehemu ya kuvuka maji
Acha tu[emoji23]Umejifunza kwa lazima!!![emoji847]
Ngoja nianze kusikiliza moja moja hapa 😂😂😂😂
Ulivokua unaogopa ulikua unawaza hivo sana Ndiomana umeota hahahaa!!!Acha tu[emoji23]
Nilikuwa naogopa siku za mwanzo
Siku hizi nishazoea
Tena nashika hadi maji[emoji38]
Hata kuwe na mawimbi vipi hata sijali
Umbali mfupi vile lazima tuokolewe tu.
Usiku Leo nimeota kidude kile kidogo seataxi eti kimepinduka juu chini.
😂😂😂😂Unanichukia, unanikunjia riziki inakutia kiwewe, basi nakwambia wanavyoitikia Mama Amina ndo wewe 😂🤣
Ila hizii nyimbo jamani.
Ngoja niendelee na Mbosso tu mshamba_hachekwi
Namtania tyuu 😄!😂😂😂Kwanini kibamia
Midude mingi kuliko pair za viatu 😆 ametisha sana
Mhm huyo anaogopesha asee sio kwa pairs hizoo! Au ni mfanya biashara uwii!!Midude mingi kuliko pair za viatu 😆 ametisha sana
Si unaona kabati la nyumbani kabisa hilo 😄Mhm huyo anaogopesha asee sio kwa pairs hizoo! Au ni mfanya biashara uwii!!
Ooh kumbe!! Ngoja nirudi kuchunguza kabati la nyumbani linavokua!Si unaona kabati la nyumbani kabisa hilo 😄
Yani no hatari alafu size zenyewe za kupasua kizaziMidude mingi kuliko pair za viatu 😆 ametisha sana
Mbona ukinitag sioni yani labd ukiniquote.Hamna mtu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona ukinitag sioni yani labd ukiniquote.
Na hata ukinitumia emojis zinakuja kwa maandishi shida ni nin?
PM yangu password anayo shemeji ako.Njoo pm nikuelekeze
PM yangu password anayo shemeji ako.
😀😀😀Nipe namba yake