Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji28][emoji28][emoji28] ingawa badae nitakuwa mlimani, ila badae kabisaaa narudi dodoma...

Nime kumiss tu alafu karibia wiki nzimaaa yani mdogo wangu.
Mwee Mimi nakumiss Kila siku
Huwa nakumbuka wema ulionifanyia.

Hee[emoji23]
Trip zako huachi tu?
 
Mwee Mimi nakumiss Kila siku
Huwa nakumbuka wema ulionifanyia.

Hee[emoji23]
Trip zako huachi tu?
Sasa hivi inatokea mala moja moja sanaa. Kama hivi tu. Ila mda mwingi nipo sehemu mojaa.. ! Karibu sana dodoma
IMG-20230616-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom