Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Very smoothly 🥰🥰🥰 nangojea samaki nianze nae
 

Attachments

  • 20230617_232251.jpg
    20230617_232251.jpg
    1.1 MB · Views: 7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kuchunga ng'ombee mto Ruvuma, nusu nife kwenye maji, nilizama chini yakanigeuza kunisereeresha bondeni.

Cna hamu mie.
Tulikuwa tunatishiwa kuna Chunusi. NGUNGANI. Mara kuna Mtoto wa Mzee Mdoka kapotezwa na CHUNUSI. Yaani Myth zilikuwa nyingi mnooo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom