Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nataka uwe unanifanyia vetting!

Nimechoka kupigwa na vitu vizito
Kwa yule mmepigwa wengiii, sio pekee ako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mwingne, alimfanya jamaa atoke kumfata aliko, kufika kulee lahaulaaaa tobaaaaaah.ni kivumbiii.

Wana wa zoom tyuuh. Mwingne yeye ana act hapa public, ila anavoganda majamaa PM had wamemkaushia

JF ina mambo balaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahadi yangu ipii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlinzi lazima atafutwe kwa pract, sasa mwana sayansi na theory wapi na wapi??
Madam I had unasoma engineering, hujawahi kuta Watu ni wazuri kwa - theory,
👉Wengine ku master plan tu
👉Some do both🙄🤔
 
Back
Top Bottom